Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,599
- 2,248
Sana mkuu Inakuwa na mkazo wakueleweka kuwa yu nani!Tena kwa waliooa tunafahamu. Ukitumiwa tu neno moja na wife "mambo" bila kumalizia mambo bby....honey au baba watoto ujue kuna kirambasi au hayuko sawa. Ki ukweli mwanaume huwezi andikia mwenzio eti Mambo halafu ukaachia apo. At least malizia "mambo vp mkuu" mambo vp kiongozi" mambo niaje mbee" mambo niaje kamanda" n.k. Tujifunze pia mambo yanayoweza kitofautisha vzr kati ya me na ke