Hivi mwanaume unaanzaje kuandika "jomoni"..!??

Hivi mwanaume unaanzaje kuandika "jomoni"..!??

Alaf ukitamka neno "jomoni " lazima mdomo urefuke mbele kama unapuliza moto duh ***** wallah
 
Halipendezi for sure. Hata nikitaka kuandika najisikia vibaya kama limekaaa kishankupe shankupe
 
Ifike mahala wanaume mjitathmini.. Hasa wenye tabia ya kukopi kila neno la kijinga linalozuka kwenye mitandao.
Kuna hili neno "Jomoni"...
Nililiona mara ya kwanza huko insta ..nikajua ni ujinga wa huko tu . Wala sikutaka kujua lilipotoka..mara ya kwanza nilijua ni typing error. Ghafla likafika hapa JF baadhi ya wadada wakaanza kulitumia.

Inasikitisha sana kwakweli na ME wameanza kulitumia neno hili... Hii ni dalili ya upunga kabisa..

ACHENI HARAKA...
Ahsanteni.
jomonii
 
Msanii atakaetunga wimbo unaoitwa JOMONI utakiki sana!
 
Duh mi nilijua typing error aisee kumbe swagga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom