Donovan RS
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 435
- 497
Ilo neno limezuka sikuiz na wanaoandka ni akinadada "jomoni" wakimanisha "jamani" kutokana na kudekadeka kibebi bebi uwanawaelewa.
Sasa awap*mb*/me wengine wanapolitumia apo ndio uwasiwaelewi wanataka nini..nisawa neno ilipia "mie" nicheke mie..., kwa ME haifai
Sasa awap*mb*/me wengine wanapolitumia apo ndio uwasiwaelewi wanataka nini..nisawa neno ilipia "mie" nicheke mie..., kwa ME haifai