ram
Platinum Member
- Oct 5, 2007
- 9,383
- 8,637
KE ndio wajinga kiwango cha lami? Si me wala ke watu wajitathini waache tabia ya kuiga mambo yasio na maana, mie mwenyewe nimeona humu JF mtu kaandika hilo neno nikajua ni typing error kumbe ni upuuzi.....eti wanasema imetokana na JAMANI=JOMONI
ujinga wa kiwango cha lami huu...hili neno waachie KE watumie