Hivi Mwanaume kuzidiwa Umri na Mpenzi/Mwanamke wake ni miaka Mingapi wastani?

Jiulize kwanza aya
👉Unampenda kweli na yeye anakupenda kweli?
👉Moyo wako umeridhika kuwa nae?
👉Unafuraha kuwa nae? Ana furahia kuwa na wewe?
👉Anatimiza majukumu yake ipasavyo(ya kama mke na kama mama wa familia)?
👉Ana kuheshimu na ww una mheshim?

Kama majibu ni ndio bas Umri sio kigezo cha kuwatenganisha.
2970516_20155fd0056647079c10d105b3ae19ba.jpg
 
Mmh hatupangiani maisha bwana lakini what if mama yako apate heart attack siku ya kumuona mke wa anamzidi hata Huyu mwanamke miaka sana tu anaweza mzaa na yeye pia
Mama angu mkubwa zaid anaweza mzaa hata huyu sema huyu anaweza lingana na Mama zangu wadogo tu.
 
Jiulize kwanza aya
👉Moyo wako umeridhika kuwa nae?
👉Unafuraha kuwa nae? Ana furahia kuwa na wewe?
👉Anatimiza majukumu yake ipasavyo(ya kama mke na kama mama wa familia)?
👉Ana kuheshimu na ww una mheshim?

Kama majibu ni ndio bas Umri sio kigezo cha kuwatenganisha.View attachment 1986695
Asante Studio #Yote yapo🙌
 
We oa kama ushampima ukaona ni mtu sahihi.

Mkishindwana vunja ndoa. Hata ndoa za waliolingana umri au ambazo mwanaume ni mkubwa kiumri zinavunjika tu wanandoa wanaposhindwana.

HAKUNA JIPYA HUMU DUNIANI. FURAHIA MAISHA.
Mimi ningekua bibi harusi ningeomba padri abarikie ndoa nyumbani
 
Wanawake huwa wanazeeka mapema, ndiyo maana unakuta baba alioa akiwa 30 na mama aliolewa akiwa 22 lakini baba akifika 50 wote wanaonekana umri sawa.

Sasa huyu mkwe wetu akifikia menopause na miguu kuanza kusumbua ujiandae kumshika mkono kwenda msalani.
Hela nitatafuta asizeeke hilo nakuhakikishia 😂😂..half mbona SHAKIRA Kamzid Pique miaka 10 haonekani mzee anakula utamu tu Daily mwamba
 
Ila bana haya mambo ya umri hapana.. aah Mimi hapana Yani mwanaume nikupite umri..aahh

Kila la kheri mkuu
 
Hamna shida ila jua wanawake twawahi kuzeeka na kuchakaa Sasa akikuzidi mtihani na menopause hyo hamu ukata utafanyaje hapo, ndio maana mwanaume akimzidi mwanamke miaka like 10 years wanakuja kuzeeka pamoja bila gap kuonekana
 
Back
Top Bottom