Hivi Mwanaume kuzidiwa Umri na Mpenzi/Mwanamke wake ni miaka Mingapi wastani?

Umri ni uwezo wa mtu kutatua mambo na kiwango cha busara na sio miaka mtu aliyoishi duniani.

Sema mara nyingi umri mkubwa huambatana na uzoefu wa maisha na busara lakini si lazima iwe hivyo wakati wote.

Kuna vijana wana 30's wana uwezo mkubwa wa kulea familia na kutunza mke kuliko wababa wenye 50's
Great Knowledge..halaf huyu ana akili hizo anajua maisha
 
Wakuu Habarini za wakati Huu!

Naomba tujadili kidogo hili swala la Tofauti ya Ages kati ya wenza, inafahamika kwa tamaduni za Kiafrika Mara Nyingi Mwanaume ndio hua na umri Mkubwa kuliko mwanamke.

Nowdays mambo yanabadilika inaanza kua kinyume kuna wanaume wanazidiwa na wanawake umri sa naomba kujua kiwastani Mwanaume anatakiwa kuzidiwa miaka mingapi?

#NOTE:This is very serious nikipata mawazo yakuridhisha namuoa huyu Mumama
Vyovyote
 
Wakuu Habarini za wakati Huu!

Naomba tujadili kidogo hili swala la Tofauti ya Ages kati ya wenza, inafahamika kwa tamaduni za Kiafrika Mara Nyingi Mwanaume ndio huwa na umri Mkubwa kuliko mwanamke.

Nowdays mambo yanabadilika inaanza kuwa kinyume kuna wanaume wanazidiwa na wanawake umri sa naomba kujua kiwastani Mwanaume anatakiwa kuzidiwa miaka mingapi?

#NOTE: This is very serious nikipata mawazo ya kuridhisha namuoa huyu Mumama😂
Cha msingi umzidi akili tu, umri siyo issue, lakini gape iwe ni miaka miwili au mitatu, ikifika mitano huyo ni dada yako ni wakupeana uroda tu lakini siyo ndoa.
 
Huo ndo ukwelii eeeee
Hakuna ukweli wowote, sifa kuu ya mwanaume ni kuweza kumcontrol mwanamke bila kujali umri.

Issue ni kwamba mwanamke awe under ur control, tumeshuhudia watu wazima wakiburuzwa na visichana vidogo na matusi juu.

Niwatolee tu mfano kwa watu maarufu, Meddy Mpakanjia alikuwa legendary akakiowa kisichana Amina Chifupa lakini Meddy mwishowe alishindwa, na mind you Meddy Mpakanjia alikuwa na pesa kitu ambacho ndio silaha muhimu kwenye mahusiano lakini alifeli.
 
🤔
 
Kwahio huyu Nimuache Anarika la Mama yangu? coz tofauti ni miaka 4+

Halaf nae ni mtoto wa Mtu anahitaji kupendwa na kizuri zaidi nimeanza kumunyandua kipind hichooo bado nikiwa chalii kabisa

Alikuwa bikra? Washirikishe [mention]Jokajeusi [/mention] na [mention]Liverpool VPN [/mention] kwenye hili.
 
Back
Top Bottom