Hivi mwanaume kununua vitenge ni kosa

Hivi mwanaume kununua vitenge ni kosa

Yaani vitenge anunue yeye kwa pesa yake,homa mpate nyie!!
Labda anajifunika?
 
Khaa! Sasa kama anamtunzia mkewake mtarajiwa je? Vijiji vingine!!!
 
kijijin watu maisha yao nikufatikia watu wwnakijiji wana roho mbaya sana na chuki aseee .
 
Back
Top Bottom