ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,989
Hujambo we mtu!
Hujambo we mtu!
Kumbe bado yupo chamani!Mara ya mwisho nilimuona mahaka kuu kitengo cha ardhi akiwa dhaifu sana.
Mungu ampe afya njema ni moja ya wapambanaji, Hata msahau Mrema alipigana kumuondoa Mrema NCCR akachemka akajiunga chama la wana CHADEMA Nafikri atamilizia maisha yake ya uzee huko.
Mengine ya kumezea tuafadhali ungeandika Kiswahili kulik kuinajisi lugha ya bibi