Mabere Marando ni moja ya waanzilishi wa mfumo wa vyama vingi ktk nchi hii na moja ya wana mageuzi ya kweli ktk Tanzania kwani wanaharakati wenzake waliokuwa nao ktk hiyo "Cause" wengi walio hai, kwa njaa zao, walisaliti "That Cause".
Hata hiyo "Stroke" anayosemekana kupata inaonekana ilikuwa ni "Artificial" kwani aliipata pale kwenye Press Conference through the microphone, alipotangaza kuwa yeye mwenyewe ndio angetangaza matokeo ya uchaguzi wa 2015 baada ya uvumi kuenea kuwa tume ya uchaguzi-cum-ccm walikuwa na mpango wa kuchakachua matokeo.
Inasemekana kwenye one of the lined microphones allegedly the one belonging to Uhuru Radio had contained the agent that infected the guy with the illness pathologically known as the Myocardia Infarction that causes the so called "Stroke".
Lkn pamoja na hayo Mr. Marando hajatetereka ki msimamo na throughout this period he has not wavered his decision to stand with the forces of justice against the prevailing oppression now tearing this country apart.