Hivi Mwanasheria Msomi Mabere Nyaucho Marando yuko wapi?

Hivi Mwanasheria Msomi Mabere Nyaucho Marando yuko wapi?

TUTU wa Jijia

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2016
Posts
727
Reaction score
566
Wasalaam,

Jamani anayejua aliko mwanasheria nguli Mabele Marando anijulishe. Siyo kawaida yake kukaa kimya muda wote ili hari tunajua uchapakazi wake katika masuala ya kutetea haki za wanyonge.

Napenda kujua kulikoni akae kimya kiasi hiki.
 
Huyu anaweza kuwa karudi zake kule alipokuwa anafanya kazi zamani, ila kama unashida naye mtafute kwenye misiba ya wajaluo
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Mabere naumwa, kipindi cha kampeni kuna bahasha alitumiwa Lowassa, Mabere akaifungua, ndio ukawa mwanzo wa kuumwa kwake.
 
Mrema hatamsahau Mabere Nyaucho Marando kisukuma Maziwa Viazi !!
 
Mrema hatamsahau Mabere Nyaucho Marando kisukuma Maziwa Viazi !!
Hata CHADEMA ndio ishafikia hali ya NCCR , ni suala la muda tu, wenye CHADEMA wameishaanza kuwa kama Mrema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom