Mzee wa Wima
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 537
- 296
Habari za mchana huu wadau, napenda kujua mwanasheria huyu na mwanasiasa mkongwe Mabere Marando je kashaachana na siasa? bado yuko Chadema? nilipata sikia alipata matatizo ya kiafya au ndio KITENGO kilinyong'onyesha.Mwenye data zake kwa sasa atiririke.
Nawasilisha
Nawasilisha