Hivi Mwanasheria Msomi Mabere Nyaucho Marando yuko wapi?

Hivi Mwanasheria Msomi Mabere Nyaucho Marando yuko wapi?

Ndo mkongwe wa chadema huyu!enzi hzo serekali ilikuwa inajali upinzani hadi majasusi waliruhusiwa kuwemo upinzani!!!!
 
Alipigwa na Stroke moja kali sana, Saivi yupo na afya sumbufu.
Hivi ile ni stroke eeh ,huyu mwamba picha ya mwisho namuona ilikua 2015 uchaguzi ,yuko NEC na EL wa CDM wakichukua fomu

MTC | 101| [emoji769]
 
Mara ya mwisho nilimuona mahaka kuu kitengo cha ardhi akiwa dhaifu sana.

Mungu ampe afya njema ni moja ya wapambanaji, Hata msahau Mrema alipigana kumuondoa Mrema NCCR akachemka akajiunga chama la wana CHADEMA Nafikri atamilizia maisha yake ya uzee huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom