Hivi mnamchukia Magufuli kiukweli??

Hivi mnamchukia Magufuli kiukweli??

Tembo 2015 alichemka mwenyewe, sembuse fisi mla mifupa ndo atafurukuta 2020?
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
Ata aje kuwa nani Rais? ila binafsi sitamsahau Rais wa Awamu ya tano, kama atagombea sitaitaji kusikiliza Kampeni ni moja kwa moja kwa JPM kwasabubu ana Sifa na Vigezo vyote wa kuwa Kiongozi wangu.

Ndio naelewa kuelewa pia kuna ugumu wake na hii ndio tatizo letu tulio wengi, siwezi kuwalaumu sana ila kwa mimi binafsi nimeona na nimeshuhudia hakika Wanyonge na Wazarendo wasinge kuwa na kauli ndani ya Nchi yao. Mfano mmoja Wageni walivyo kuwa wanaishi Tanzania, mfano Chuo cha kampala ilikuwa Marecharer wanaingia kwa kibali cha Wanafunzi now kwisha kabisa.

Tra mtu anaonga Gari kwa busness card kupereka katika mashow room now kwisha kabisa ni haki kwa haki. Familia zime imalika kutoka mtu anatoka ijumaa kwake na mswaki kila kitu anarudi jumatatu jioni watoto wamelala. Afya ndio usiseme watu kutoka bilioni 31 mpaka Bilioni 270. Yapo mengi sana hayana Idadi.

Mungu akupe Maisha marefu Dk JPM binafsi sitakulilia shida ila nafikiria kitu gani nastahili kukufanyia na kuwafanyia Watanzania wenzangu ikiwa ni shukrani kwa kukuchagua wewe. Wewe ni Rais wa maisha yangu, uongozi wako hutafutika katika taswira yangu.

Hapa kazi tu imebadilisha Maisha yangu kwa kufata taratibu na sheria za Nchi yangu.
 
Magufuli ni rais anejali vitu na sio watu namchukia kiukweli
Yaani anajali sana , ndege, madaraja na barabara kupita, wananchi wake kama kuwaongezea mishahara watumishi wa umma na wafanyakazi wengine ?
Yaani wewe mtu wewe hii akili umeitoa wapi ?
 
Tazara (DSM), Manzese (DSM), Mabatini (MZA), Kirumba (MZA). Ya magari moja za waenda kwa miguu tatu.
Zero brain, hivyo vidaraja vya juu ndio flyovers??
 
M
Yaani anajali sana , ndege, madaraja na barabara kupita, wananchi wake kama kuwaongezea mishahara watumishi wa umma na wafanyakazi wengine ?
Yaani wewe mtu wewe hii akili umeitoa wapi ?
Mkuu hii kitu haihitaji akili nyingi kuiona huyu jamaa hajali kabisa hali ya maisha ya watu kabisa yaan
 
Membe hawezi kuwa rais wa Tanzania labda awe wa TFF
 
Zero brain, hivyo vidaraja vya juu ndio flyovers??
Tafuta maana ya flyover ujielimishe kwanza kabla ya kutoka povu na kuonesha upumbavu wako wewe zero brain. Unataka kupinga kila kitu bila kuwa na facts. Nyie ndio wasomi feki mliojaa Tanzania.
 
Kaka zile sio fly over. Pale tazara kuna daraja la juu kubwa na mengine madaraja madogo.

Haya madaraja madogo unaweza kuita zebra.
Kimsingi flyover au crossover ni daraja linalowezesha traffic ya njia moja kupita juu ya njia nyingine. Ila ukiongelea interchange au spagheti junction ni kitu kingine na hatujajenga hapa Tanzania. Kama sikosei Ubungo panajengwa interchange kwa sasa.
 
Taasisi ya Urais ilidharauluka kipindi anatawala Mkwere. Kila mtu akajiona anaweza kuwa Rais. Lakini kwa awamu hii mmenoa.
 
Back
Top Bottom