Hivi mnamchukia Magufuli kiukweli??

Hivi mnamchukia Magufuli kiukweli??

Mi
HIVI MBONA MNAPOTEZA MDA KUMZUNGUMZIA MEMBE NI KAMA VILE MNAVYOPOTEZA MDA KIJIWENI KUZUNGUMZIA LIGI YA ULAYA . KIAKILI SIO LAZIMA UENDE SHULE MEMBE ANAUWEZO GANI KUMTOA MH MAKUFULI KUGOMBEA URAIS SIFA ZIPI . MAWAZO YA MEMBE NI KAMA MTOTO ANAYEFIKIRIA AKIWA MKUBWA ATAKUWA PILOT SASA LINI, UKWELI HAKUNA WA KUMSHINDA MH MAKUFULI SIFA ANAZO NA UWEZO ANAO WAKUWA RAIS KWA MDA WOTE HATA MIAKA 40
Miaka 40?? Magu madarakani Aisee we jamaa ni nyoka mwenye sumu Kali sana nimewaza tu
 
Watu wanamvuruga tu akili mheshimiwa Raisi kwa kumsifia Membe kusudi kabisa, maana mheshimiwa Kuna vtu hajali wananchi. Mheshimiwa akirekebisha baadhi ya mambo na kurudisha heshima yake mbona bado ni best tu kwahyo nafasi ya Uraisi.
 
Mie nahisi mnamtumia Membe kumtumia ujumbe Magufuli alegeze kamba na si kweli mmemchoka Magufuli,,,,mna love hate relationship na Magufuli...lol mnamkubali na ma flyover yake ndio maana wengi wenu mnafeel guilty kutamka waziwazi ‘kazi na bata’ ,,,,having said all this,,,i think Membe ndie Rais ajae,Ameanza kusikika kabla Magufuli hajatoka akiendelea kwa speed hii Magufuli 2020 atabaki kuwa Rais wa term moja!this is good timing for you Membe una muda wa kujijenga,,,go!go!

2020twende na Membe,,,hehe
Not to that extent and not in Africa.....
 
[emoji4][emoji4][emoji4]
tapatalk_jpeg_1544296142852.jpeg
 
Unatia aibu sana wewe aisee membe aliku
HIVI MBONA MNAPOTEZA MDA KUMZUNGUMZIA MEMBE NI KAMA VILE MNAVYOPOTEZA MDA KIJIWENI KUZUNGUMZIA LIGI YA ULAYA . KIAKILI SIO LAZIMA UENDE SHULE MEMBE ANAUWEZO GANI KUMTOA MH MAKUFULI KUGOMBEA URAIS SIFA ZIPI . MAWAZO YA MEMBE NI KAMA MTOTO ANAYEFIKIRIA AKIWA MKUBWA ATAKUWA PILOT SASA LINI, UKWELI HAKUNA WA KUMSHINDA MH MAKUFULI SIFA ANAZO NA UWEZO ANAO WAKUWA RAIS KWA MDA WOTE HATA MIAKA 40
Yani unatia aibu sana MTU wewe mjinga yani membe kwa taarifa yako alikuwa juu toka miaka ya sabini magufuli akiwa hata kwenye kijiji chao hawamjui Leo unasema membe hana uwezo kweli uko serious wewe magufuli urais akiupata kibahati unamlinganisha na membe kichwa cha John Hopkins kweli dah stupidity of the highest order
 
Back
Top Bottom