Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 645
- 996
anajua nampenda nailahumu siku ya kwanza kumuona unajua huwezi amini nilimpenda akiwa bado darasa la pili mim niko la 7 hadi leo ni muda mrefu i still loving herDaah mkuu, so you're still in love with her sio?
Are you sure kabisa!? Na je mliwahibkuwa kwenye mahusiano rasmi. Au ni kipindi bado mko wadogo?anajua nampenda nailahumu siku ya kwanza kumuona unajua huwezi amini nilimpenda akiwa bado darasa la pili mim niko la 7 hadi leo ni muda mrefu i still loving her
tuliigia kwenye mahusiano one week kipindi amekua akawa mdada akaacha shule akaenda kufanya kaz mm nami nikaenda shule nikaludi ameshapata mchumba age 17Are you sure kabisa!? Na je mliwahibkuwa kwenye mahusiano rasmi. Au ni kipindi bado mko wadogo?
Kuna kitu nataka kuongea na ww private kuna issue utakuwa unaipitia inaitwa limerence kama hautojali.tuliigia kwenye mahusiano one week kipindi amekua akawa mdada akaacha shule akaenda kufanya kaz mm nami nikaenda shule nikaludi ameshapata mchumba age 17
Kuumia ni kuchagua mkuu, unaumia kwasababu matarajio yako hayajafikiwa, hayajafikiwa kwasababu ulikua na matarajio makubwa ila mwenza kakuangusha.Mkuu mbona unakuwa defensive mapema hivi😂 kama hauja pitia na hujakubali kuingia kwenye maumivu lazima ulipie tu kwa namna fulani.. Hasa kwa watu wengine. Unakuwa non receptive of love.
Ndio, but anapaswa kujua kuwa it's not the mind that aches it's the body and soul. Ila wengi humezea maumivu then wanaenda kuwa toxic na kulipizia kwa watu wengine ambao wako so innocentKuumia ni kuchagua mkuu, unaumia kwasababu matarajio yako hayajafikiwa, hayajafikiwa kwasababu ulikua na matarajio makubwa ila mwenza kakuangusha.
Dunia iko hivyo mkuu, umepewa utashi utumie, ukishindwa basi utatumiwa.Ndio, but anapaswa kujua kuwa it's not the mind that aches it's the body and soul. Ila wengi humezea maumivu then wanaenda kuwa toxic na kulipizia kwa watu wengine ambao wako so innocent
Tukiwa makinda tulikuwa tuna enjoy nyimbo sasa tunaelewa lyrics zake. Nyimbo inakuwa zaidi ya kiburudisho bali combo cha kuleta maana ya vitu tupitiavyo maishani🎵🎵 kuachwa kuachwa, kuachwa ni shuhuri pevu, wew unakonda yeye ananenepa kwa mawazo oooh kwa mawazo🎵🎵💃