Hivi mna habari Samia ni dikteta kuliko Museveni?

Hivi mna habari Samia ni dikteta kuliko Museveni?

Wote ni sawa wanashare notes.

Wote walianza na modality ya kunyanyasa vyama pinzani.

Wote wamejaza ndugu zao kwenye nafasi nyeti za kimaamuzi (full of nepotism & political patronage).

Kule Uganda CDF Muhoozi kamteka mume wa dada yake kamvua nguo kampiga picha kaweka X (twitter). Dadaake yule ambae kawa askofu juzi.
 
Nipo jikoni na nimeamua kulipuka ukweli. Anacho amua yeye ndo afla na omega. Ukimpinga kidogo tu uwe tayari kwa lolote. Sura sio Roho amini nawaambia!
Zamanii niliwahi sikia kwamba wanawake wa kiarabu huwa automac wanakuwanga na Roho fulani hivi mbaya sana... Sasa sijui kama huyo jamaa alikuwa sahihi au alikuwa amekula mmea
 
unataka kusema rais deo atakuja kuwa dikteta?
Katiba ya mwaka 1977 (ikumbukwe hii ni katiba ya chama kimoja, na tunaitumia mpaka wakati huu wa mfumo wa vyama vingi kinyume kabisa na utaratibu inavyotaka) ilitengeneza mazingira ya ccm kuwa chama dola (chama kinachofungamana na dola), na Rais wake (anayetokanw na ccm) kuwa na mamlaka ya juu ya Kifalme (Imlerial Presidency).

Kwa hiyo raia yeyote yule akifanikiwa kuwa Rais chini ya hii katiba ya 1977, labda aamue mwenye asiwe dikteta. Kwa sababu Katiba imeandaliwa kumfanya kuwa kiumbe mwenye madaraka/mamlaka makubwa kupitiliza ndani ya nchi.

Ili kuondokana na haya mauzauza, katiba mpya ya wananchi haikwepeki.
 
Screenshot_20260828-231056.png
 
Nipo jikoni na nimeamua kulipuka ukweli. Anacho amua yeye ndo afla na omega. Ukimpinga kidogo tu uwe tayari kwa lolote. Sura sio Roho amini nawaambia!
Sio kweli , Mseveni kaichukulia nchi tokea misutuni huko , huyu kachukua nchi kwa katiba baada ya Mwendazake , mbona ni kama mwezi na jua.

Kuchukua nchi kama Mseveni alivyofanya sio jambo la kitoto it needs highly commitment.
 
Huyu amegeuka mnyama
 
Binafsi anayofanya SSH sikuyategemea mpaka MAGUFULI anaonekana mtakatifu.
 
Back
Top Bottom