Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Mshahara bado haujatoka bro. Kuwa na subira utapata tu. Kwa ni imeshafika mwisho wa mwezi wa tano?
 
Basi stone katoa kwa taasisis nyeti labda wewe hauko kwenye taasisi hizo
 
Na yuko kwa madiba Hadi arudi atapitia Namibia kwa hiyo tutakula idd vizuri
 
Sasa hivi ni 17:16 bila bila. Hapa nimekopa hadi kiwango cha mwisho. Ndani na nje pote panawaka moto.
 
Back
Top Bottom