Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Hahahaaa! Usiaingizie shamba mkuu maana hata shamba mtandao upo na siku izi ela ikiingia tu kwenye acc unapata notification
 
Hahahah...Daah! Huwezi amini, sijapata meseji hadi muda huu. Sijui hata kama umetoka ama laah!
 
Kwa kuwa mshahara wa magufuli umegoma, basi tusubiri mshahara wa dhambi,huo hatutaukosa hakika
 
Subirini mpaka tarehe 39 labda ndo watafikiria kuweka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah...Daah! Huwezi amini, sijapata meseji hadi muda huu. Sijui hata kama umetoka ama laah!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu rahisi sana kuupata wala hausubir mwisho wa mwezi
Kwa kuwa mshahara wa magufuli umegoma, basi tusubiri mshahara wa dhambi,huo hatutaukosa hakika
 
Raisi alisema imeshalipwa tangu tarehe 19 msipoiona mmusubiri atoke ughaibuni
 
Back
Top Bottom