Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Nini kimeisababisha serikali kuchelewesha sana mishahara ya watumishi wa umma mwezi huu kuliko miezi mingine!? Ni muda mrefu sasa serikali imekua ikiwalipa watumishi kabla ya tare 24 lkn mwezi huu sijui wamekwamia wapi!
 
Nini kimeisababisha serikali kuchelewesha sana mishahara ya watumishi wa umma mwezi huu kuliko miezi mingine!? Ni muda mrefu sasa serikali imekua ikiwalipa watumishi kabla ya tare 24 lkn mwezi huu sijui wamekwamia wapi!
Mbona wameshatoa tangu juzi tumeshamaliza na kumaliza kabisa ndugu
 
Wakati yupo Mbeya alijisifu kuwalipeni mshahara tarehe 19 na akasema itakua ni kawaida sasa mambo yamebuma..

Poleni sana.
 
Nakumbuka miaka miwili na ushehe ya utumishi wangu nilikuwa zikifika tar za mishahara hata mia sina mfukoni zaidi ya kuwa na chakula tu ndani, hali ilikuwa ngumu mno.
Sasa kuna kaunafuu kiasi, mpaka sasa sijapata mshahara ila nyama home inaliwa kwa kwenda mbele.
Sasa hivi kwa watumishi wengi wenye huduma ya bank alert wakisikia SMS wanawehuka kukimbilia kuisoma kumbe ni sms ya Tatu mzuka ikiwataka wabashiri.
 
Ni kwel mkuu lakini unadhani kila mtu akijiajiri nani atatoa hizi huduma tunazozipata kwa hawa waliojiriwa? Mathalan kweny afya,elimu,n.k lakini pia huyu aliajiriwa naye ni haki yake kupata kile anachostahili hivyo mleta thread tusimchukulie kama mtu asiye na dira
Watumishi.mnakera kuulizia mishahara subirini tarehe ifike
 
C bishani na mtu mzima aliye kosa heshima mnajiona mmefika hata mbuyu ulianza kama mchicha we kama hutegemei mshahara lkn ulianza hivyohivyo na wafanya biashara nao wanahitaji wafanyakazi walipwe wakanunue bidhaa madukani sasa kila mfanyakazi akawa na duka huoni kunakuwa na hukosefu wa mzunguko wa hela kwa hawa wafanya bishara ,wote tuna hitajiana ili pesa izunguke so usijifanye umejiajiri wakati unahitaji pesa ya mfanyakazi kwe ujasilimali wako tatizo wa bongo vichwa maji unamkebehi mtu anaye kuletea hela ,ndo maana watumishi wa uma wanawahudumia vibaya wafanya biashara kwa nyodo kama hizi
 
Wasalaam, kwa wale wenye ajira serikali Leo ni tarehe 24 may 2019 napenda kuwauliza je mmeshapata kale kamshahara kamwezi may? Maana 19 imeshapita nadai kodi yangu ya nyumba napewa ahadi tu.
 
Watumishi wa umma ni kina nani??

Nani anayefanya kazi ambaye hatumikii umma?

Kama unamanisha wafanyakazi wa serikali, basi nakuthibitishia, mishahara yao nilishawapelekea tangu jumanne.

Dai kodi yako ila na wewe usisahau kulipa kodi yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom