Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Nakumbuka miaka miwili na ushehe ya utumishi wangu nilikuwa zikifika tar za mishahara hata mia sina mfukoni zaidi ya kuwa na chakula tu ndani, hali ilikuwa ngumu mno.
Sasa kuna kaunafuu kiasi, mpaka sasa sijapata mshahara ila nyama home inaliwa kwa kwenda mbele.
Sasa hivi kwa watumishi wengi wenye huduma ya bank alert wakisikia SMS wanawehuka kukimbilia kuisoma kumbe ni sms ya Tatu mzuka ikiwataka wabashiri.
Nikajua matokeo sahihi ya jackpot
 
Ha ha ha na wanawehuka kweli..
 
[emoji23][emoji23]..watumishi wamekuwa kama wanafunzi wanavyosubiria boom
 
"Kiasi cha shilingi 17***** kimeingizwa kwenye akaunti yako NMB inayoishia namba ******47588
Kama huufahamu muamal huu piga simu na 01000800800"

Heheheheheheh!!!
Yani hapo hata ikipungua elfu huna habari unautoa kwanza, alafu hupigi ila utaenda kwa bank husika kuomba ile bank statement
 
Back
Top Bottom