Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Fanya mpango utengeneze another stream of income. Kuishi kwa kutegemea ka mshahara kiduchu tu ni risk kubwa hasa pale unapopatwa na emergency. Yaani maisha design hii ya “hand-to-mouth” bila akiba yoyote ni janga kuu
 
Niko Shambani, So obvious you know shambani nafanya nini! Nilikuwa naulizia ili iniBusti kweny ishu flani hapa.
 
Fanya mpango utengeneze another stream of income. Kuishi kwa kutegemea ka mshahara kiduchu tu ni risk kubwa hasa pale unapopatwa na emergency. Yaani maisha design hii ya “hand-to-mouth” bila akiba yoyote ni janga kuu
Watumishi wote hawawezi kuwa na another source of income. Iwe Tanzania au Marekani.
 
Mkuu utumishi kwa nchi masikini kama Tanzania ni taabu sana ona watumishi akili yote inawaza mshahara kama umetoka sipati picha siku usipotoka watumishi watakuwa na hali gani
Kwann usitoke wakati ni kaz yake halali Kama ilivyo biashara, kilimo etc?
Pia Kwan ukiwa mtumishi huwez kufanya mishe nyingine? Mmekariri kuwa watumishi wanaishi kwa Mishahara tu?
 
Ni kwel mkuu lakini unadhani kila mtu akijiajiri nana atatoa hizi huduma tunazizipata kwa hawa waliojiriwa? Mathalan kweny afya,elimu,n.k lakini pia huyu aliajiriwa naye n haki yake kupata kile anachostahili hivyo mleta thread tusimchukulie kama mtu asiye na dira
Umenena ukweli Mkuu sioni ubaya mtu akiulizia kipato chake halali vijitu vya bongo kazi ni kupiga majungu tu
 
Back
Top Bottom