Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

mshahara bado acha uogo, ila nazan ni Kwania nzuri tu kisiwe chanzo chakuinanga serekali
Watumishi wa umma ni kina nani??

Nani anayefanya kazi ambaye hatumikii umma?

Kama unamanisha wafanyakazi wa serikali, basi nakuthibitishia, mishahara yao nilishawapelekea tangu jumanne.

Dai kodi yako ila na wewe usisahau kulipa kodi yangu
 
Huu uzi unafurahisha Sana..lakini kubwa unafundisha..unajua tunategemeana hata Mimi mfanyabiashara mambo hayaendi lakini watumishi wakipokea tu Kuna unafuu mkubwa Sana..
Mbonyeza kitufe Cha mshahara Yuko south Africa mpka arudi
 
Hahahahhaa umeona eeh. Views zimefika 19k ndo unaongoza kwa kuwa na views nyingi kwa recent threads mpaka saiv. Na watumishi wengi wanautegemea kwa update hususani taarifa yoyote nzuri. ...kuwa salary tayari. Sema ndo hivo wanachungulia kimya kimya ..hawatoi neno.hawatoi
Above all jiwe amekomesha kweli watumishi toka 19 April mpaka 24 may halafu still as we speak ngoma bado bila bila. Daaah.
Nawatamani sana wanaosubiri mshahara
 
Hivi kwanini watumishi wengi wanapokelea mishahara NMB?
Au nmb ni favorable kwa mjini na vijijini?
Ni kama ilivyo tanesco, Dawasco, TBC, radio Tanzania na tuendako itakuwa TTCL kwakuwa angani tayari ATC keshakaba.... Uda inapiga jalamba
 
Asilimia 99% tuliotembelea uzi huu ni watumishi, ila tuwe wavumiliv mkulu anatoa mishahara kwa kujali watumishi, na idd ipo karib tuvute subira.hata tar 27 sio mbaya.
 
Mpaka mda huu saa 16:26 bila bila!!

Leo sijui nitalala wapi nina madeni jamani nimetoka nyumbani mapema ili wanaonidai wasinikute!

Mitihani nimeacha mezani maana hakuna namna sasa.

Nitarudi usiku
 
Hali tete km.........[emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_1550500703315.jpeg
 
Nasikia Baba mwenye nyumba ameenda kwa Madiba! Sasa simpaka arudi??[emoji1552]‍♂[emoji1552]‍♂[emoji1552]‍♂
 
Back
Top Bottom