Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Wewe una mkopo unapokea laki na 70 tena utakuwa mwalimu hongeraaa
"Kiasi cha shilingi 17***** kimeingizwa kwenye akaunti yako NMB inayoishia namba ******47588
Kama huufahamu muamal huu piga simu na 01000800800"


Heheheheheheh!!!
 
Watumishi wakipewa sasa hivi ikifika Eid watakuwa wamefulia, acha mishahara ilipwe tarehe 3 Juni.
 
Back
Top Bottom