Halafu unawezakuta wewe ni slay queen huna hata kazi
🙆🏽♂️🙆🏽♂️View attachment 1105732 Mimi ndio huyo hapo!
Hata wanaojiajiri shida hupata tu.
Kuna wakati mauzo hamna kabisaaa hajui hata ale Nini lkn huyu mwajiriwa angalau anatumaini tarehe Fulani atapata.
Uvinza unamaanisha chumvini auKwa sisi wanajeshi wa uvinza. Ilishatoka na tulishaimaliza
[emoji23][emoji23][emoji23]Uvinza unamaanisha chumvini au
Wafanyabiashara watateseka maana mauzo nayo yatapungua.Mkuu utumishi kwa nchi masikini kama Tanzania ni taabu sana ona watumishi akili yote inawaza mshahara kama umetoka sipati picha siku usipotoka watumishi watakuwa na hali gani
Hahahaa Linyo lyakoNywanoko
Ndio huko huko mzee babaUvinza unamaanisha chumvini au
Poa poaNdio huko huko mzee baba
Na wanaojiajiri wadau wao ni wafanyakazi, hivyomfanyakazi akikosa nao wanaokosa kiaina
Ndio kilichofuata mkuu, dogo hawazi tena kuajiriwa! I thank God!![]()
TRA, tazameni mlivyoniongezea umaskini
Wiki iliyo pita nilijibana kumwezesha dogo afanye hiyo interview lakini it backfired against me! Ifuatayo ndio budget : 1. Nauli - Tunduma ~Dar~Tunduma = 86,000/= 2. Malazi - siku 2= 30,000 /= 3. Chakula 10,000/day x3days= 30,000/= 4. Calculator - 15,000/= 5. Passports size - 4,000/= 6...www.jamiiforums.com
Mkuu kwanini hizo pesa usingemfungulia genge huyu kijana akauza hata nyanya?
Pole kwa kukwazika mkuu!Wapi ww acha saound za mbu
Kwa nchi yetu hii, watumishi wananyanyasika zaidi aisee!Vyote vina umuhimu Wake..