Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Huu uzi unachunguliwa nawatu wengi kuliko kawaida sema wengi wanagugumia tu ndani kwa ndani Hahaa
Hahahahhaa umeona eeh. Views zimefika 19k ndo unaongoza kwa kuwa na views nyingi kwa recent threads mpaka saiv. Na watumishi wengi wanautegemea kwa update hususani taarifa yoyote nzuri. ...kuwa salary tayari. Sema ndo hivo wanachungulia kimya kimya ..hawatoi neno.hawatoi


Above all jiwe amekomesha kweli watumishi toka 19 April mpaka 24 may halafu still as we speak ngoma bado bila bila. Daaah.
 
Naomba mwezi ujao tena uchelewe huo mshahara na mm nipate viewers wengi ase huyu jamaa aloandika huu Uzi katisha sana
 
Dah, nimeingia ATM kwenye teller 5 tofauti hadi sasa bilabila. Hali Mbaya sana. Sijui ukiingia watakata ngapi
 
C bishani na mtu mzima aliye kosa heshima mnajiona mmefika hata mbuyu ulianza kama mchicha we kama hutegemei mshahara lkn ulianza hivyohivyo na wafanya biashara nao wanahitaji wafanyakazi walipwe wakanunue bidhaa madukani sasa kila mfanyakazi akawa na duka huoni kunakuwa na hukosefu wa mzunguko wa hela kwa hawa wafanya bishara ,wote tuna hitajiana ili pesa izunguke so usijifanye umejiajiri wakati unahitaji pesa ya mfanyakazi kwe ujasilimali wako tatizo wa bongo vichwa maji unamkebehi mtu anaye kuletea hela ,ndo maana watumishi wa uma wanawahudumia vibaya wafanya biashara kwa nyodo kama hizi
Ukipitia ECA, EGM , HGE wamekuelewa,,

Hao wapiga domi ni wale wazee wa swanglish

Natania
 
Mzee kaenda zake south na yy ndie anabonyeza kitufe kuashiria mzigo uwafikie watumishi, hivyo kuweni wapole mpka arudi.
 
Naona serikali ya ccm imeamua kuwatesa wafanyakazi! maana hawajatoa sababu ni kwa nini mpaka leo tarehe 24 imeshindwa kuwalipa wafanyakazi mishahara yao!

Au tuseme hawatambui ya kwamba wafanyakazi wanaishi kwa kutegemea hiyo mishahara? Sasa unapomcheleweshea mtu mshahara wake halali na alioutolea jasho kwa mwezi mzima pasipo kumjulisha mapema kama utamcheleweshea, lengo ni kumkomoa au? Serikali inatakiwa iwe fair katika hili na isisahau ya kwamba kuna baadhi ya kada hazina posho ya aina yoyote ile katikati ya mwezi zaidi ya huo mshahara mdogo wanao upata kila mwezi!
 
wale walioambiwa waanze tumia mtandao wa ttcl na Stone mzigo tayari mbona
 
Huu uzi unafurahisha Sana..lakini kubwa unafundisha..unajua tunategemeana hata Mimi mfanyabiashara mambo hayaendi lakini watumishi wakipokea tu Kuna unafuu mkubwa Sana..
 
Back
Top Bottom