Mwalimu kp
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 574
- 488
Chai ya moto hiiMishahara siku hizi haiingizwi yote siku moja. Wanaanza na mikoa ya pembezoni na kumalizia Dar na Arusha.
Tuliokubali kuhamia Dodoma tulipata 21.05.19
Chai ya moto hiiMishahara siku hizi haiingizwi yote siku moja. Wanaanza na mikoa ya pembezoni na kumalizia Dar na Arusha.
Tuliokubali kuhamia Dodoma tulipata 21.05.19
Ni ukweli na baadhi ya barua zimeshasainiwa mkuu.Wanatangulia wale walio masenior.Sio mzaha katika hili.Ndio wale 193000 na usheeHuu ni uongo. Watumishi wanapandishwa madaraja bila kupandishwa mishahara.
Ila kamanda nasikia nyie mlishapewa tangu tarehe 20.Nusu SAA ijayo mzigo wenu utakuwa Tayari 12:38+30
Wanatutunzia ili tusogelee IDI ili tusije tukalia njaa kabla ya Idi kufika,,,Habari za leo wakuu. Hivi kuna ambao washapata mshahara wa May? Maana sio kawaida mpaka leo hii tarehe 24 mshahara bado...
tupoo mkuu tupooHabari za leo wakuu. Hivi kuna ambao washapata mshahara wa May? Maana sio kawaida mpaka leo hii tarehe 24 mshahara bado...
Hata akijiajiri kuchelewa kwa mshahara kwa wafanyakazi kutamuathiri tu kwa namna moja ama nyingine ...Thread za namna hii ndio zinanifanya niwaandalie wanangu mazingira ya kujiajiri zaidi kuliko kuajiriwa! Dah!
Yaan npo town nausubr nmetoroka job.Naamini Leo unatoka tu, ikishindikana azima sehemu uumpe
Yaan npo town nausubr nmetoroka job.
[emoji23][emoji23][emoji23] NMBNani kakuhakikishia uusubiri?
Wakuu, naomba kuuliza...Mishahara ilitoka au bado?
Now nipo shambani, sipo karibu na Bank. Naomba mnifahamishe ndugu zangu.