Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Siku ile ya wafanyakazi si alisema siku hizi mishahara anawapa mapema hata kupiga makofi na kufurahia mkawa mmenuna tuu hamshangilii
 
Watumishi wa umma ni kina nani??

Nani anayefanya kazi ambaye hatumikii umma?

Kama unamanisha wafanyakazi wa serikali, basi nakuthibitishia, mishahara yao nilishawapelekea tangu jumanne.

Dai kodi yako ila na wewe usisahau kulipa kodi yangu
Ina maana wamelipwa?
 
Katika haya maisha nimejifunza kitu yani kama unakaa na Ndugu na anakunyanyasa kisa uko kwake anakufundisha maisha ili upate hasira upambane na wewe upate kwako maana akikidekeza kaa yai utazeekea kwake
 
.
IMG-20190524-WA0051.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom