Mubashara muulize hata FaizaFoxyYa kweli chief???
Mubashara muulize hata FaizaFoxyYa kweli chief???
Okay mkuuMubashara muulize hata FaizaFoxy
Ila ukifika benki usichukulie ATM. Ingia ndani. ATM za NMB leo zinazingua hata salio hazisomiOkay mkuu
Mishahara siku hizi haiingizwi yote siku moja. Wanaanza na mikoa ya pembezoni na kumalizia Dar na Arusha.Usiwatese watumishi wa Mungu kwa habari za uongo,naona kuanzia jana una wadaganya
Believe me. Kama unamtu wa Sumbawanga au Songea au Bukoba muulizeSio bure una shida kubwa sana
Sisi huku kishapu kwetu kulikuwa na ukaguzi wa ATM card yaan hapa nahisi mshahara mpaka wiki ijayo [emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu, naomba kuuliza...Mishahara ilitoka au bado?
Now nipo shambani, sipo karibu na Bank. Naomba mnifahamishe ndugu zangu.
Kwa nchi yetu hii, watumishi wananyanyasika zaidi aisee!
Izi taarifa zina ukweli ndani yakeMishahara siku hizi haiingizwi yote siku moja. Wanaanza na mikoa ya pembezoni na kumalizia Dar na Arusha.
Tuliokubali kuhamia Dodoma tulipata 21.05.19
Izi taarifa zina ukweli ndani yake
Wengine wanaulizia ili kuwadaka wadeni wao. Maana unakuwa umemkopesha mtu pesa kwa ahadi atakulipa mshahara ukitoka, ikifika mwisho wa mwezi wanakuwa wanazuga kuwa haujatoka. So wanaulizia ili waende kwa nguvu zote kudai.Watu wanaouliziaga mishahara huwa nawaonea huruma sana japo mi mwenyewe sina mipesa. Ila ni kama mkicheleweshewa wiki moja tu mnaweza hata kufa.
Bado MzeeNgojea wadau watakujibu.
Safi.
Wote wakiwa machinga madaktar watatoka wapi mzeeee?Daaah haya maisha niliyakataa tangu ningali mtoto ndo maana nikakulia ndani ya umachinga siwazi mshahara nawaza kukuza biashara nakuongeza Wateja nipate kipato zaidi