Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Wakuu, naomba kuuliza...Mishahara ilitoka au bado?

Now nipo shambani, sipo karibu na Bank. Naomba mnifahamishe ndugu zangu.
.
IMG-20190523-WA0136.jpeg
 
Kweli,naamini kila mtu ana haki ya kuleta kile anachooa kina mantiki kwake,wajibu wetu ni kuchangia na kama huna cha kuchangia piga kimya,wacha wenzako watachangia,Amani iwe kwenu wote
 
Nawe bwana...anaetoa mishahara unadhani ni nani?
Kwahiyo ile siku ya ijumaa kuu hakupumzika ,kweli alichoka maana watumishi nchi nzima ni wengi Sana[emoji1787]
 
Kachukueni mje mnunue nguo za sikukuu za watoto wenu,sio kila Sikh tunauza 20000 Tu.
Tena muwahi tumeleta mupya wapendeze watoto wenu
 
Back
Top Bottom