Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Yaani hapa hata kuandaa mitihani naona uvivu kweli
Kuna jamaa ananidai amepiga simu kwamba anakuja kuchukua pesa yake nimemwambia mshahara bado haamini
Sijui hata nitamwambia nini!!
Mhmmm kwa hali hii wanategemea muendelee kufanya kazi kweli?
 
Ngoma mpaka kesho hii,anyway kuna wengine tuzazoea kupokea mshahara tarehe 28,
 
Yaani hapa hata kuandaa mitihani naona uvivu kweli

Kuna jamaa ananidai amepiga simu kwamba anakuja kuchukua pesa yake nimemwambia mshahara bado haamini

Sijui hata nitamwambia nini!!
ha ha ha nacheka kama mazuri. Nyie ndio mnawekaga dhamana ATM card
 
Yaani hapa hata kuandaa mitihani naona uvivu kweli

Kuna jamaa ananidai amepiga simu kwamba anakuja kuchukua pesa yake nimemwambia mshahara bado haamini

Sijui hata nitamwambia nini!!
Duhh pole sanamkuu, anakudai sh ngap
 
Wazidi tu kuchelewesha ili tuzidi kutanua vichwa vyetu kiutafutaji.
Tusibweteke kama ilivyo kawaida.
Mbona watumishi wengine wana vyanzo vizuri na huwakuti kutetereka kiivyo.
 
Mishahara siku hizi haiingizwi yote siku moja. Wanaanza na mikoa ya pembezoni na kumalizia Dar na Arusha.
Tuliokubali kuhamia Dodoma tulipata 21.05.19
Sio kweli bhana. Mimi nipo idodomiya na sijaona chochote. Nimeambiwa ni mpaka mwisho wa mwezi. Muda ni huu na ni siku yoyote.
 
ha ha ha nacheka kama mazuri. Nyie ndio mnawekaga dhamana ATM card
Utafanyaje mkuu mishahara yenyewe mnaijua.

Ndugu wakishajua unakazi utapata tabu sana.

Kwani kuweka card kuna mtu ananifata nyumbani!!
 
Back
Top Bottom