Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,364
- 60,495
Tutumie wa kwako
Nami niweke order....Mshahara ukitoka tufanye yetu[emoji4][emoji4]
Nami niweke order....Mshahara ukitoka tufanye yetu[emoji4][emoji4]
Ni kweli mkuu,mambo ni mengi hususani kwa familia zetu pendwa,ungekuwa karibu ningekupatia kahawa kuondoa baridi,tukiusubiria.
Worry out mkuuNgoja tuvute subiraaa
TupooooMasenior Bachelor kama Mimi,mpoooooo???
Pamoja sana DingilaiTupoooo
Sawa tu, nipe tarehe yangu[emoji123][emoji123]Tutumie wa kwako
Ful jombiiiPamoja sana Dingilai
Hakuna shida,muheshimiwa sana!Uzi Wa walimu na ma nurse
Thread za namna hii ndio zinanifanya niwaandalie wanangu mazingira ya kujiajiri zaidi kuliko kuajiriwa! Dah!
Mkuu sana,humu JF kuna kila aina ya Bepari.Hivyo tupeane tu updates kama imoooooooooooo au lah!![]()
TRA, tazameni mlivyoniongezea umaskini
Wiki iliyo pita nilijibana kumwezesha dogo afanye hiyo interview lakini it backfired against me! Ifuatayo ndio budget : 1. Nauli - Tunduma ~Dar~Tunduma = 86,000/= 2. Malazi - siku 2= 30,000 /= 3. Chakula 10,000/day x3days= 30,000/= 4. Calculator - 15,000/= 5. Passports size - 4,000/= 6...www.jamiiforums.com
Mkuu kwanini hizo pesa usingemfungulia genge huyu kijana akauza hata nyanya?
Okay ManagerSaa moja usiku
Habari yako tajiriUzi wa watu maskini hohehae
Mbona bado mkuu nipo hapa ATM tokea saa15pmMSHAHARA TAYARI
Mpo bank moja?Mbona bado mkuu nipo hapa ATM tokea saa15pm
YawezekanaMpo bank moja?