meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
- Thread starter
-
- #81
Hana tofauti na wale walioipa CHADEMA mwaka mmoja itakuwa imeshakufa.mwaka umekatika,ndio kwanza CHADEMA inazidi kuchanja mbuga na sasa inakwenda kutinga Ikulu chini ya UKAWA.
Anaweza kuwa right lakini hiyo haindoi dhambi ya asili ya unafiki.Jiulize kwa nini Rostam haitwi mnafiki?Jibu ni rahisi tu always yuko upande aliouamini no matter what.Huyu jamaa yetu ni mfuata upepo tena kwa kujidai yuko upande wa wanyonge...shame.Mkuu meningitis, wewe ndio hujui!, wenzako wenye akili, wameisha soma upepo, yule 'jamaa yangu' ndie rais wetu 2015 ndani ya CCM au nje ya CCM!. Hivyo jamaa is right!.
Pasco
Kuna bwana mmoja mjanja mjanja sana na anapenda kutumia vyombo vyake vya matangazo ikiwa ni pamoja na TV,Radio na magazeti.
Ni mjanja sana wa kukimbilia media pindi anapobanwa kwa hoja.
Ni mnafiki kwelikweli na ametumia makundi ya kijamii yenye shida kujijengea umaarufu asiostahili.
Amejidai ni mwenye nguvu ya media yenye uwezo wa kuangusha serikali!
Amewalaghai hata chadema kwa kujidai kurusha mikutano yao.
Ni mlaghai mno na mjanja sana wa kufuata upepo.
Ninachomuhurumia ni kwamba mwaka huu amaingia pabaya(wrong turn)
Kosa la kujiunga na kambi ya kifisadi ni kosa atakalojutia maishani kwani kwa mara ya kwanza ATASHINDWA na hapo ndio itakuwa kikomo cha UNAFIKI wake.
Bado majuma kama mawili tu kitaeleweka.
Anaweza kuwa right lakini hiyo haindoi dhambi ya asili ya unafiki.Jiulize kwa nini Rostam haitwi mnafiki?Jibu ni rahisi tu always yuko upande aliouamini no matter what.Huyu jamaa yetu ni mfuata upepo tena kwa kujidai yuko upande wa wanyonge...shame.
KKuhusu jamaa kuukwaa nje ya ccm ameshachelewa ....ameshapoteza fursa akiwa Shekh Amri Abeid siku ilee aliyotakiwa kufunguka ....siku ile aliyoandaliwa na kibonde ndio ilikuwa one moment one opportunity one bullet and one shot to make.
Kuna bwana mmoja mjanja mjanja sana na anapenda kutumia vyombo vyake vya matangazo ikiwa ni pamoja na TV,Radio na magazeti.
Ni mjanja sana wa kukimbilia media pindi anapobanwa kwa hoja.
Ni mnafiki kwelikweli na ametumia makundi ya kijamii yenye shida kujijengea umaarufu asiostahili.
Amejidai ni mwenye nguvu ya media yenye uwezo wa kuangusha serikali!
Amewalaghai hata chadema kwa kujidai kurusha mikutano yao.
Ni mlaghai mno na mjanja sana wa kufuata upepo.
Ninachomuhurumia ni kwamba mwaka huu amaingia pabaya(wrong turn)
Kosa la kujiunga na kambi ya kifisadi ni kosa atakalojutia maishani kwani kwa mara ya kwanza ATASHINDWA na hapo ndio itakuwa kikomo cha UNAFIKI wake.
Bado majuma kama mawili tu kitaeleweka.
Kosa ni kurusha habari kinafiki!iwe ya lowassa au Slaa.Mkuu kwa hiyo kosa lake ni kurusha habari za Lowasa?
Pasco bwana huyu utakuwa unamjua sana.
Taja huyo mtu unaleta mada za mafumbo ngumu watu kukuelewa.
Halafu unakumbuka ule uzi wako ulisema unawapa mwezi ACT-Wazalendo itasambaratika muda mbona umepita.
Teh teh teh
Kosa ni kurusha habari kinafiki!iwe ya lowassa au Slaa.
iwe ya ccm au chadema.
Sasa Pasco anaingiaje hapa? Labda Pascal Mayalla ndo maswaiba tangu kipindi cha kitimoto. Mwacheni Pasco aendelee kuvuta mpunga wa fisadi huku akijiandaa kuwa Salva mpya
Sasa Pasco anaingiaje hapa? Labda Pascal Mayalla ndo maswaiba tangu kipindi cha kitimoto. Mwacheni Pasco aendelee kuvuta mpunga wa fisadi huku akijiandaa kuwa Salva mpya
Mkuu meningitis, wewe ndio hujui!, wenzako wenye akili, wameisha soma upepo, yule 'jamaa yangu' ndie rais wetu 2015 ndani ya CCM au nje ya CCM!. Hivyo jamaa is right!.
Pasco
Kwa kweli hata mimi Mengi kanishangaza sana,katika watia nia wote yeye ni Lowasa tu,mpaka amempiga marufuku Mkinga kwenye media zake kisa anamsema sana Lowasa.kama unampenda sana Lowasa itisha mdahalo na Lipumba tuone
Mengi ni sawa na akina Gwajima kwani wanafuata upepo. Mengi alishawahi mponda sana Lowassa na kumpongeza sitta lakini kwa sasa lowassa kwake ni lulu. Gwajima na Mengi n walewale.