NewWorldOrder
Member
- Nov 9, 2014
- 5
- 4
Kuna bwana mmoja mjanja mjanja sana na anapenda kutumia vyombo vyake vya matangazo ikiwa ni pamoja na TV,Radio na magazeti.
Ni mjanja sana wa kukimbilia media pindi anapobanwa kwa hoja.
Ni mnafiki kwelikweli na ametumia makundi ya kijamii yenye shida kujijengea umaarufu asiostahili.
Amejidai ni mwenye nguvu ya media yenye uwezo wa kuangusha serikali!
Amewalaghai hata chadema kwa kujidai kurusha mikutano yao.
Ni mlaghai mno na mjanja sana wa kufuata upepo.
Ninachomuhurumia ni kwamba mwaka huu amaingia pabaya(wrong turn)
Kosa la kujiunga na kambi ya kifisadi ni kosa atakalojutia maishani kwani kwa mara ya kwanza ATASHINDWA na hapo ndio itakuwa kikomo cha UNAFIKI wake.
Bado majuma kama mawili tu kitaeleweka.
Taja huyo mtu unaleta mada za mafumbo ngumu watu kukuelewa.
Halafu unakumbuka ule uzi wako ulisema unawapa mwezi ACT-Wazalendo itasambaratika muda mbona umepita.
Teh teh teh
Duh Mkuu naona utamaliza mwaka vibaya,
Duniani kote madon huwa hawashindwi kitu, kiustaarabu tu ni kama unacheza ngoma usiyoijua.....
Na Kwa uhakika dhahiri kabisa huitaji kuwa great thinker kujua kuwa unamzungumzia Mengi,
Hakuna asiefaham nguvu ya Mengi kwa Ushawishi wa Umma, tumekuwa nae toka enzi na enzi,Fisadi unaemuona ni mmoja tu kwa kuwa umeambiwa hivyo, na pengine ukiambiwa tofauti utaamini hivyo, CCM ni chaka la mijizi hakuna mwenye unafuu, ndio maana wengi wenye busara wanaangalia game kwa mbali.
Turudi kwenye uhalisia,
Nitajie tajiri yeyote hapa Tanzania anaeweza kutetea wanyonge, iwe kuhadaa au whatever kama unavyotaka kusema zaid ya Mengi
Nitajie tajiri yeyote mwenye ujasiri wa kusema kampuni fulani hazilipi kodi
Nitajie tajiri yeyote tena mwanachama wa CCM anaweza kutoa nafasi kwa vyama vya upinzani kuonyesha uwezo wao...
You must be too ill informed to understand the name of the game, let alone the game.
I'm out.
Mkuu unaikumbuka story ya PABLO ESCOBAR ??
N/A to Reginald Mengi, anavowindwa na maadui wa biashara zake na umaarufu wake, wangekuwa washampoteza zamani sana
Refer issue ya kutaka kumbambikia mtoto wake drugs airport......
Japo yote yanawezekana, lakini Mengi angekuwa ashanaswa zamani sana..... ana maadui elfu ni kidogo,
Big name and wealthy attracts fake friends and true enemy.
Mengi ameingia pabaya
Mkuu unaweza ukawa upo sahihi, lakini kwa watu wenye calibre ya Mengi hawakawii kubadilika kulingana na upepo,
Wanajua sana wana choki fanya hasa wakiangalia interest zao, ukilinganisha na hawa wa piga kelele wenzetu huku mtaani,
They choose their cards wisely and still they know the game well than the rest of us.
He is very smart na very powerful mkuu, usije kushangaa thread yako inafutwa humu kwa sababu ya nguvu yake tu ya kifedha na ushawishi aliyo nayo.Kuna bwana mmoja mjanja mjanja sana na anapenda kutumia vyombo vyake vya matangazo ikiwa ni pamoja na TV,Radio na magazeti.
Ni mjanja sana wa kukimbilia media pindi anapobanwa kwa hoja.
Ni mnafiki kwelikweli na ametumia makundi ya kijamii yenye shida kujijengea umaarufu asiostahili.
Amejidai ni mwenye nguvu ya media yenye uwezo wa kuangusha serikali!
Amewalaghai hata chadema kwa kujidai kurusha mikutano yao.
Ni mlaghai mno na mjanja sana wa kufuata upepo.
Ninachomuhurumia ni kwamba mwaka huu amaingia pabaya(wrong turn)
Kosa la kujiunga na kambi ya kifisadi ni kosa atakalojutia maishani kwani kwa mara ya kwanza ATASHINDWA na hapo ndio itakuwa kikomo cha UNAFIKI wake.
Bado majuma kama mawili tu kitaeleweka.
Ya Pablo naijua sana, and you know what, he dies at 44.Ungeisoma kwanza hadith ya Pablo....kwa ufupi alikuwa ni drug dealer mwema sana kwa jamii na tishio kwa serikali na aliwindwa sana na serikali yake na USA na hatimaye alipatikana.
Alikuwa kipenzi cha wananchi na mtoa misaada sana kwa jamii.
Kuna bwana mmoja mjanja mjanja sana na anapenda kutumia vyombo vyake vya matangazo ikiwa ni pamoja na TV,Radio na magazeti.
Ni mjanja sana wa kukimbilia media pindi anapobanwa kwa hoja.
Ni mnafiki kwelikweli na ametumia makundi ya kijamii yenye shida kujijengea umaarufu asiostahili.
Amejidai ni mwenye nguvu ya media yenye uwezo wa kuangusha serikali!
Amewalaghai hata chadema kwa kujidai kurusha mikutano yao.
Ni mlaghai mno na mjanja sana wa kufuata upepo.
Ninachomuhurumia ni kwamba mwaka huu amaingia pabaya(wrong turn)
Kosa la kujiunga na kambi ya kifisadi ni kosa atakalojutia maishani kwani kwa mara ya kwanza ATASHINDWA na hapo ndio itakuwa kikomo cha UNAFIKI wake.
Bado majuma kama mawili tu kitaeleweka.
Kuna mwingine DUDUS wa jamaica naye mkuuUngeisoma kwanza hadith ya Pablo....kwa ufupi alikuwa ni drug dealer mwema sana kwa jamii na tishio kwa serikali na aliwindwa sana na serikali yake na USA na hatimaye alipatikana.
Alikuwa kipenzi cha wananchi na mtoa misaada sana kwa jamii.
Taja huyo mtu unaleta mada za mafumbo ngumu watu kukuelewa.
Halafu unakumbuka ule uzi wako ulisema unawapa mwezi ACT-Wazalendo itasambaratika muda mbona umepita.
Teh teh teh
We mwenyewe mnafiki maana ungekuwa si mnafiki ungemtaja tukamjuwa. Hapa tuna dare ku talk openly.
Mkuu hebu kuwa wa kwanza kutokuwa mnafiki kwa kusema unayemsema ni Bwana Mengi! Mengi anaweza kuwa kweli ni mnafiki au ana madhaifu yake tena mengi lakini kama ni hili kwakuwa ana rusha habari za Lowasa ndio kosa basi una muonea!
Kimsingi kila leo ITV tumeshuhudia habari za Lowasa,Nyarandu,Wasira ,Magufuli ,Membe na January makamba na Mwigulu Nchemba!
Labda utuweke wazi kosa lake ni kupatana na Rostam na kukumbatiana? Ina maana ulikuwa unapenda watu kuendelea kuwa maadui? kumbe hupendi watu wa kipatana?
Halafu kama swala ni kurusha habari za Lowasa mbona Channel ten ,Clouds Tv na vituo vingine wana rusha kila leo? Mengi ana madhaifu lakini kwa hili unamuone kabisa hivi ulitaka habari za Lowasa zisirushwe? Kwanini hukwenda sasa kumzuia kuchukua fomu? Hebu tuache demokrasia ichukue mkondo!
Mkuu meningitis, wewe ndio hujui!, wenzako wenye akili, wameisha soma upepo, yule 'jamaa yangu' ndie rais wetu 2015 ndani ya CCM au nje ya CCM!. Hivyo jamaa is right!.Ninachomuhurumia ni kwamba mwaka huu amaingia pabaya(wrong turn).