Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,593
F4Kumbe wee F6 umemaliza 2018?
F4Kumbe wee F6 umemaliza 2018?
F4 umemaliza 2018?? Mmmmh
Ndio, kwani nimechelewa sana?F4 umemaliza 2018?? Mmmmh
Sasa baadhi yao wananyonyesha watacheza mchezo gani? Riadha,netball,kuruka au mchezo gani?Michezo ni muhimu lakini hata kama sio mchakamchaka
Haya bhanaa, hongera.Ndio, kwani nimechelewa sana?
WAnangu siyo mandazi.Tuna watoto mandazi sana siku hizi, hata Michezo imepungua ya kumjenga mtoto kiakili kwanini mambo machafu yasipate nafasi.
kuna maana kubwa ya kuwepo michezo tofauti tofauti katika maisha yetu.
Kioo cha jamii sioWAnangu siyo mandazi.
Mazoezi kila ahsubuhi
HahahaKioo cha jamii sio
Na ukifika 55+ na afya mbovu kisukari + pressure vinagonga hodi 😁😁😁Hahaha
Nimegundua wazazi ndo maandazi kabisa bora nibadilike maana mzazi ukiwa active na mtoto anafuata.
Sasa wazazi bize na pisi kali unategemea watoto wanalelewaje
Nilisomaga shule ya msingi chimalaKtk maisha ya shule nilikua nachukia mchaka mchaka, na kukimbia Smart Area,
Nlikua nakereka hadi baas, lol
Hiyo ipo kikisukuma zaidMchakamchaka Chinja,
Hadi Mselema Hadija...!
Hata sijui maana yake ni nini...?