Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,813
- 3,767
Swali zuri sana mkuu . Tangu nimekuja hapa duniani sijaona mtu amevaa uchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri sana mkuu . Tangu nimekuja hapa duniani sijaona mtu amevaa uchi
Hahah kwani ni mdada mkuu?
Huyu bwana Mdogo ni bonge la mariooooJamaa anahitaji mshauri wa mavazi la sivyo ukikutana nae usiku unaweza kukimbia
View attachment 1032087
Unaweza ukazani wichicrafti
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufreemason ni dhana tu. HAIPOHapo penyewe tayari amemuwakilisha mzee lucifer.
Ukifuatilia aina ya mavazi yanayovaliwa kwa uwakilishi wao hilo vazi lipo na hata la huyo mama kushoto kwake.
Ukipata video ya jz alipokiwa anaelezea nafasi yake wakati anavuka nafasi ya Freemasons nadhani kwenye zile lodge zao No. II utaona hizo mavazi.
NB. Kama sitakuwa nimekosea.
Ukampangie mwanaume mwenzio jinsi ya kuvaa kweli?Jamaa anahitaji mshauri wa mavazi la sivyo ukikutana nae usiku unaweza kukimbia
View attachment 1032087
Unaweza ukazani wichicrafti
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuachwa sio shida!...shida ni kuachwa huku we ni marioo, unaweza ua mtu!
Kwani uchi nao ni aina ya nguo? Nauliza tu
HahaaJamaa anahitaji mshauri wa mavazi la sivyo ukikutana nae usiku unaweza kukimbia
View attachment 1032087
Unaweza ukazani wichicrafti
Sent using Jamii Forums mobile app
kina YahyaKuachwa sio shida!...shida ni kuachwa huku we ni marioo, unaweza ua mtu!
Marioo ukimmwaga anakuua, si uliona ya Leila mtoto wa hidaya pepe kalle
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisaThe fact, kuachwa huvuruga akili na utaratibu wrote.
Wengi waume kwa wake, hukimbilia kutafuta replacement to compensate the gap, hapo ndio huishia kwenye vituko na majanga.
The moment they come to realize too late to restore dignity damaged.