Hivi Mbasha hana mshauri wa Mavazi, haya mapigo yake yanachekesha sana

Hapo penyewe tayari amemuwakilisha mzee lucifer.
Ukifuatilia aina ya mavazi yanayovaliwa kwa uwakilishi wao hilo vazi lipo na hata la huyo mama kushoto kwake.


Ukipata video ya jz alipokiwa anaelezea nafasi yake wakati anavuka nafasi ya Freemasons nadhani kwenye zile lodge zao No. II utaona hizo mavazi.

NB. Kama sitakuwa nimekosea.
Ufreemason ni dhana tu. HAIPO

Freemasons HAWAPO, ni dhana tu na imani ya kutungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom