Hivi Mbasha hana mshauri wa Mavazi, haya mapigo yake yanachekesha sana

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,097
10,998
Jamaa anahitaji mshauri wa mavazi la sivyo ukikutana nae usiku unaweza kukimbia
e.mbasha-20190225-0001.jpeg

Unaweza ukazani wichicrafti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amenikumbusha move ya marehemu kanumba kama lucifer
Hapo penyewe tayari amemuwakilisha mzee lucifer.
Ukifuatilia aina ya mavazi yanayovaliwa kwa uwakilishi wao hilo vazi lipo na hata la huyo mama kushoto kwake.

Ukipata video ya jz alipokiwa anaelezea nafasi yake wakati anavuka nafasi ya Freemasons nadhani kwenye zile lodge zao No. II utaona hizo mavazi.

NB. Kama sitakuwa nimekosea.
 
Nimeshangaa mkuu maana vazi kama hili alivaa marehemu kanumba kwenye move yake ya kuelezea wafuasi wa Lucifer.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom