Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Halafu hao aliofuatana nao sijui mashoga maana naona mijiheleni tuu. May be kaenda kuigiza movie au kumtafuta Mange Kimambi.
Ni kwa kuwa Safari zilizuiwa. Na swali la Pili ni ndio wakuu wa mikoa wanalipwa na Tamisemi fedha za umma!wewe ndiye uliyemtuma uko au majukumu yake ya kila anarepoet kwako mpaka uhoji? vipo vingi vya kuoji vyenye direct +ve impacts kwako binafsi na jamii kwa ujumla mkuu