TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Wakati wengine wote Kusafiri Wamekatazwa, Mpaka Kibali cha Rais, Naona huyu Bwana mdogo yupo USA akishangaa shangaa. Pia nimeona akiwa na Baadhi ya Wengine! I hope ameenda Usa Likizo na Kisha Ajirudie zake Tz salama. Ila kama kafuata mengine ajue USA ni Backyard za Wengine sio Kama Ukumbi wa Ubungo alipomlabua Mh. Warioba kibao.
Pia I hope Kwa Kuwa "Hapa kazi tu" hana Upendeleo, Wakuu wote wa Mikoa wakipata Likizo nao wapelekwe Italy au USA au France etc!