Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,554
- 9,065
Ndio mana nimekwambia ya Gambia au nchi jirani ya Zenji. Kama huamini jamaa kachuja kalagabahoWewe ndo unahasira unadhani ni watanzania wote, hiyo 2020 hata wabunge wenu watapungua nakuhakikishia, Magufuli ni raisi mpaka 2025 labda aamue kutogombea mwenyewe