Hivi Magufuli atagombea tena?

Hivi Magufuli atagombea tena?

Mimi nadhani mleta mada unamhemko sana wa kisiasa na mahaba na chama chako ambacho sitaki kukijua. Sasahivi ni mwaka wapili tu tangu uchaguzi upite halafu unaanza kuwaza kama 2020 atagombea, hii mada nadhani ungetakiwa kuileta mwaka 2019 huko sio sasa, ni mapema mno, tuache domo tufanye kazi kwa maendeleo ya nchi yetu.
 
Mkuu unaongea kama huwajui watanzania vizuri,CDM ni taasisi,ila CCM ni taasisi kubwa zaidi,ikifika 2019 mambo yatasetiwa na wataalam,mzunguko utakuwepo wa pesa,na bahasha kibao na watu watasahau yote,tatizo mnaangalia ya mwaka mmoja tu,mnaanza kutoa tathmini ya 2020,mwaka jana mlipigwa mkwara wa maandamano,kila mtu kimya,sijaona hata wa kukohoa,mmepiga kelele kwenye magazeti na TV sasa hivi yameanza kukaa kimya pia,mpaka 2018 tutakuwa tumeshaanza kuwa kama China yenye chama kimoja,watu wa propaganda zitakuwa hazilipi tena,sana sana itabakia JF kama nayo itapona misukosuko iliyopo,hapo ndo utaelewa ninachojaribu kumaanisha.2020 hakuna hata hayo mafuriko ya kutengeneza,mambo yatakuwa yamebadilika sana,watu watakuwa wameshaacha mazoea ya kupiga domo,itakuwa ni kila mtu bize na familia yake na tumbo lake.Jaribu kuangalia hili suala kwa mapana,sio kwa ushabiki au upenzi wa chama fulani.
Sio kwa huyu. Ninamashaka hata na uwezo wake wa kufikiri. Hana uwezo wa kusolve matatizo kama alivyoshindwa kumanage hasira na stress zake
 
Inategemea na waliomuweka pale mpaka usawa huu naona wote wanajuta na kimoyo moyo wanaona bora wangemalizana na lowasa tu yasingetokea yote haya.
 
Ushindi saa tano? Kama 2015 hali ilikuwa vile unadhani 2020 patatosha? Ima ccm ikubali kuanguka au wafanye ya Gambia. Watu wana hasira nanyi sana.
Wewe ndo unahasira unadhani ni watanzania wote, hiyo 2020 hata wabunge wenu watapungua nakuhakikishia, Magufuli ni raisi mpaka 2025 labda aamue kutogombea mwenyewe
 
Nakumbuka wakati wa kampeni alivyopata shida kujinadi, ikafika mahali mzee wa watu akaanza kupiga push ups, akaongea kila lugha ili raia wamuelewe haikutosha akaacha na chama chake akaanza kukiponda na kusema wao ndio wameifikisha hii nchi hapa.

Maswali pekee ambalo najiuliza mpaka sasa huyu mtu atagombea tena? Hakumbuki yaliyompata kipindi kile, hivi atawaeleza nini watanzania wamuelewe au ndio anasubiri 2019 awasaulishe, atarudi Kagera kuomba kura? Kule simiyu ataenda? Watumishi wa umma atawaomba kura? Wanafunzi wa vyuo vikuu je?, wahitimu wa vyuo vikuu atawambia nini? Atajiteteaje kuhusu Tanzania ya viwanda, nakumbuka alisema serikali yake ni viwanda hivyo viwanda vimefika vingapi? Au ndio vile anavyozindua vilivyo anza kufanya kazi kipindi cha Kikwete.

Vijijini huko atawaeleza nini kuhusu milioni 50 alizoahidi, ataenda huko kweli kuomba kura zao. Wafanyabiashara ambao wamefunga biashara zao kutokana na hali mbaya kiuchumi atawaambia nini? Kuna msemo unasema "usitukane mambo kabla hujavuka mto" nakumbuka Mhe alianza kwa mbwembwe na dhihaka nyingi kwa watangulizi wake, nadhani hivi sasa anajionea.
Sidhani
 
1484631499673.jpg
 
tarehe za mwishoni mwezi july 2018 ajira zitatoka na maisha kuwa simple kuwafanya watanzania wasahau machungu yote kwa sasa tumuache raisi wetu ainyooshe nchi
 
Unategemea maisha yako yawe rahisi kwa serikali kukufanyia nini? na wewe unachukua gani kuyafanya maisha yako yawe bora Zaidi? Kutegemea malalamiko ni kielelezo cha kukata tamaa.Timiza wajibu wako.
 
Mbona wewe mpumbavu sana! Ilani inatekelezwa miaka 5. Hizo milioni 50 ulimsikia alisema ataleta mwaka wa kwanza tu wa Utawala wake? Acha upuuzi kama huna cha kupost bora ukae kimya!!
Jibu hoja, usifikri hatujui kutukana.
 
Watanzania siku zote huipigia kura CCM ata ivurunde vipi.Watanzania wamekariri
 
Nakumbuka wakati wa kampeni alivyopata shida kujinadi, ikafika mahali mzee wa watu akaanza kupiga push ups, akaongea kila lugha ili raia wamuelewe haikutosha akaacha na chama chake akaanza kukiponda na kusema wao ndio wameifikisha hii nchi hapa.

Maswali pekee ambalo najiuliza mpaka sasa huyu mtu atagombea tena? Hakumbuki yaliyompata kipindi kile, hivi atawaeleza nini watanzania wamuelewe au ndio anasubiri 2019 awasaulishe, atarudi Kagera kuomba kura? Kule simiyu ataenda? Watumishi wa umma atawaomba kura? Wanafunzi wa vyuo vikuu je?, wahitimu wa vyuo vikuu atawambia nini? Atajiteteaje kuhusu Tanzania ya viwanda, nakumbuka alisema serikali yake ni viwanda hivyo viwanda vimefika vingapi? Au ndio vile anavyozindua vilivyo anza kufanya kazi kipindi cha Kikwete.

Vijijini huko atawaeleza nini kuhusu milioni 50 alizoahidi, ataenda huko kweli kuomba kura zao. Wafanyabiashara ambao wamefunga biashara zao kutokana na hali mbaya kiuchumi atawaambia nini? Kuna msemo unasema "usitukane mambo kabla hujavuka mto" nakumbuka Mhe alianza kwa mbwembwe na dhihaka nyingi kwa watangulizi wake, nadhani hivi sasa anajionea.
Kwa matendo yake sidhani kama atagombea tena. Kamchefua kila mtanzania. Hata CCM hawamtaki japo ni mtoto wao.
 
Mkuu unaongea kama huwajui watanzania vizuri,CDM ni taasisi,ila CCM ni taasisi kubwa zaidi,ikifika 2019 mambo yatasetiwa na wataalam,mzunguko utakuwepo wa pesa,na bahasha kibao na watu watasahau yote,tatizo mnaangalia ya mwaka mmoja tu,mnaanza kutoa tathmini ya 2020,mwaka jana mlipigwa mkwara wa maandamano,kila mtu kimya,sijaona hata wa kukohoa,mmepiga kelele kwenye magazeti na TV sasa hivi yameanza kukaa kimya pia,mpaka 2018 tutakuwa tumeshaanza kuwa kama China yenye chama kimoja,watu wa propaganda zitakuwa hazilipi tena,sana sana itabakia JF kama nayo itapona misukosuko iliyopo,hapo ndo utaelewa ninachojaribu kumaanisha.2020 hakuna hata hayo mafuriko ya kutengeneza,mambo yatakuwa yamebadilika sana,watu watakuwa wameshaacha mazoea ya kupiga domo,itakuwa ni kila mtu bize na familia yake na tumbo lake.Jaribu kuangalia hili suala kwa mapana,sio kwa ushabiki au upenzi wa chama fulani.
Umeongea fact sana kaka. Kula tano huko uliko
 
Nakumbuka wakati wa kampeni alivyopata shida kujinadi, ikafika mahali mzee wa watu akaanza kupiga push ups, akaongea kila lugha ili raia wamuelewe haikutosha akaacha na chama chake akaanza kukiponda na kusema wao ndio wameifikisha hii nchi hapa.

Maswali pekee ambalo najiuliza mpaka sasa huyu mtu atagombea tena? Hakumbuki yaliyompata kipindi kile, hivi atawaeleza nini watanzania wamuelewe au ndio anasubiri 2019 awasaulishe, atarudi Kagera kuomba kura? Kule simiyu ataenda? Watumishi wa umma atawaomba kura? Wanafunzi wa vyuo vikuu je?, wahitimu wa vyuo vikuu atawambia nini? Atajiteteaje kuhusu Tanzania ya viwanda, nakumbuka alisema serikali yake ni viwanda hivyo viwanda vimefika vingapi? Au ndio vile anavyozindua vilivyo anza kufanya kazi kipindi cha Kikwete.

Vijijini huko atawaeleza nini kuhusu milioni 50 alizoahidi, ataenda huko kweli kuomba kura zao. Wafanyabiashara ambao wamefunga biashara zao kutokana na hali mbaya kiuchumi atawaambia nini? Kuna msemo unasema "usitukane mambo kabla hujavuka mto" nakumbuka Mhe alianza kwa mbwembwe na dhihaka nyingi kwa watangulizi wake, nadhani hivi sasa anajionea.

Magufuli ataendelea kuwa Rais hadi mwaka 2025, utake usitake kwa sababu mamlaka ya kuendelea kuwa Rais anayo yeye kikatiba. Tuombe uzima tu, tutajionea.
 
Wenye upeo wa kuona mbali wameshaachana na hizi kelele,wameshagundua ni kelele tu,CCM ni ile ile,tume ya uchaguzi ni ile ile na imefanyiwa marekebisho msiyopenda kusikia zaidi,katiba ni ile ile,kwa kukukumbusha 2020 hakuna UKAWA kwa wenye kuelewa wameshaelewa,CDM kama watamuweka tena yule waliyemnadi ni FISADI PAPA tena,basi CCM ushindi ni wa saa 5 asubuhi,yule jamaa hatakaa aachiwe kikombe kwa namna yoyote aingie IKULU,haitakaa itokee.Ndio maana ya ule usemi wa afe beki afe kipa.
FB_IMG_14846269272117724.jpg
FB_IMG_14846269036203405.jpg
FB_IMG_14846269210143884.jpg
FB_IMG_14846282018294831.jpg

Hapa ni nyumbani kwa kiongozi wa Makaburu mjini Geita Jana wakati Lowassa anapita kuwapa hie, watu walifunga biashara zao
 
Back
Top Bottom