Hivi Lulu yuko katika hali gani kwa sasa?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
6,576
12,684
nimejivika uhusika wa Lulu kwa kesi inayomkabili,nahisi ningekua ni mimi kabla ya hiyo tarehe13 Nov ndugu zangu wangekua wamenizika tayari kwa msongo wa mawazo
ila nampongeza kwa kuwa strong mpaka dakika hii.
 
Hawezi kuwa strong wakati hajui nini majaji wataamua kuhusu maisha yake tarehe 13, kitu ambacho naamini atakua anakesha kwenye maombi kipindi hiki. Kikombe cha huyu binti ni kizito sana jamani. Namuombea alivuke salama jaribu hili tarehe 13.
 
Kama ni kuact Lulu ni actress mzuri sana. Alipotoka Segadance aliamua kuwa karibu na Mungu lakini ilikuwa acting ya muda mfupi.

Aliact kumjali mama Kanumba kama mama yake, miezi sita haikupita alimchamba mama wa watu tena Insta.
 
nimejivika uhusika wa Lulu kwa kesi inayomkabili,nahisi ningekua ni mimi kabla ya hiyo tarehe13 Nov ndugu zangu wangekua wamenizika tayari kwa msongo wa mawazo
ila nampongeza kwa kuwa strong mpaka dakika hii.
Waganga wanadinya! Kwa dhana ya kupeperusha upepo mbaya kwenye hukumu.
Watumishi uchwara wanaifiligisa wamalizapo kufanya bonge moja la maombezi!
Makarani wakware ndio nafasi yao 'kuiperuzi' kwa kisingizio wanampatia nyeti kutoka kwa jaji.

Inapata 'mailegi' ya kutosha na hiyo ndio hali yake kwa sasa.

Akiwafikiria mabwana jela! Yaani hana hamu kabisaaa!
 
Hawezi kuwa strong wakati hajui nini majaji wataamua kuhusu maisha yake tarehe 13, kitu ambacho naamini atakua anakesha kwenye maombi kipindi hiki. Kikombe cha huyu binti ni kizito sana jamani. Namuombea alivuke salama jaribu hili tarehe 13.
Upo? Nakusalimia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…