CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,255
- 12,872
Husika na hiyo heading, hilo ni swali kaniuliza rafiki yangu (mdada) nimpe ushauri na mtazamo wangu kuhusu hilo suala....
Anasema kwua yeye akijisikia kutoka out huwa anawatafuta washkaji zake wanatoka out, wanapiga story, wanakunywa pombe then anarudi zake home kwake..... au kama ni w-end anawatafuta wanakwenda club baadaye wanamrudisha home kwake...
Sasa kaniuliza mimi kama rafiki yake nina mtazamo gani juu ya hiyo tabia yake? kabla sijamjibu naomba mtazamo / ushauri juu ya hili..........
Kimahusiano yeye hana mahusiano ya kudumu ana b/f wake ambaye huwa wanatafutana wakiwa na naniliu tu baada ya hapo kila mtu ana hamsini zake, sababu ya yeye kufanya hivo ni kutokana na kutendwa ma aliyekuwa mchumba wake ambaye alimuacha wakati keshamtambulisha na kumpeleka kwao (kwao kijana) sababu sijui hajanambia mpaka leo.