MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,603
Kwa maelezo haya sasa nimekufahamu mito.Kutokana na mfano wako uliotoa, naona kama hujanielewa ndg yangu MAMMAMIA. Ninachojaribu kusema hapa ni kwamba kuishawishi jamii ijue kuwa FGM ina madhara ni rahisi zaidi kuliko kuishawishi jamii hiyo hiyo iamini kuwa wasichana wanaenda disco, bar, club n.k si wahuni. Kwahiyo kwa kuzingatia hili, ndo maana nashauri hivi kwa msichana/mwanamke anayetaka kuolewa ni vizuri asifanye kile ambacho sehemu kubwa ya jamii inaamini ni kibaya. This is my major argument!
Last edited by a moderator: