Hivi kwenda bar au club ni uhuni???

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
Husika na hiyo heading, hilo ni swali kaniuliza rafiki yangu (mdada) nimpe ushauri na mtazamo wangu kuhusu hilo suala....
Anasema kwua yeye akijisikia kutoka out huwa anawatafuta washkaji zake wanatoka out, wanapiga story, wanakunywa pombe then anarudi zake home kwake..... au kama ni w-end anawatafuta wanakwenda club baadaye wanamrudisha home kwake...

Sasa kaniuliza mimi kama rafiki yake nina mtazamo gani juu ya hiyo tabia yake? kabla sijamjibu naomba mtazamo / ushauri juu ya hili..........

Kimahusiano yeye hana mahusiano ya kudumu ana b/f wake ambaye huwa wanatafutana wakiwa na naniliu tu baada ya hapo kila mtu ana hamsini zake, sababu ya yeye kufanya hivo ni kutokana na kutendwa ma aliyekuwa mchumba wake ambaye alimuacha wakati keshamtambulisha na kumpeleka kwao (kwao kijana) sababu sijui hajanambia mpaka leo.
 
Ili tuweze kutoa majibu sahihi, tuwe na base moja ya ku-hinge arguments zetu. Let first define what is uhuni, then from there we will reach a valid conclusion. For example if I ask you: Is a whale a fish? You will first have define what are the characteristics of a fish and a whale -define the two terms!
 
I'm neither a grammarian nor grammar police but your grammar and syntax suck.
 
inategemea anaenda kufanya nini huko club au bar..wengine wanaenda kuwinda wanawake au wanaume na wengine kukutana na rafiki zao, wengine kupoteza mawazo...na kuendelea!yeye anaenda kufanya nini??
 
Kimahusiano yeye hana mahusiano ya kudumu ana b/f wake ambaye huwa wanatafutana wakiwa na naniliu tu baada ya hapo kila mtu ana hamsini zake, sababu ya yeye kufanya hivo ni kutokana na kutendwa ma aliyekuwa mchumba wake ambaye alimuacha wakati keshamtambulisha na kumpeleka kwao (kwao kijana) sababu sijui hajanambia mpaka leo

Tabai ya kwenda Club na bar ndiyo iliyosababisha mchumba wake wa awali amuache.
Tabia ya kwenda bar au club si uhuni, ila jamii inachukulia ni uhuni kwani mwisho wa starehe huko bar au club ni matendo ya kihuni.
Upande wa pili hii ni tabia tegemezi, ukianzasha tu kwenda club ni vigumu kuacha tabia hii. Hata kama utakosa pesa, utatafuta tu ili weekend uende club.
 
wala sio uhuni ni kujifurahisha unafanya kitu roho inapenda. kuna wengine hawaendi bar wala club lakini mambo yao balaa tupu.....kama nia yake ya kwenda bar na club ni kujifurahisha aendelee bila wasi

Afu wewe......ole wako nikukamate!
 
wala sio uhuni ni kujifurahisha unafanya kitu roho inapenda. kuna wengine hawaendi bar wala club lakini mambo yao balaa tupu.....kama nia yake ya kwenda bar na club ni kujifurahisha aendelee bila wasi

asante kwa ushaurim ujumbe utafika. nia yake ya kwenda bar / club ni kwaajili tu ya kujifurahisha na kukutana na rafiki zake na sio vinginevyo!
 
Inategemea unaishi kijiji gani! Jumapili kwenye ibada nilikaa na mdada kanisani yuko busy anachat kwenye bbm!

c ndo hapo, mimi ushauri wangu niliotaka kumshauri ni huu... huko anakokwenda club au bar a-behave co kwenda kavaa ki-uchi uchi avae mivao yenye staha hata kama ni mivao ya usiku na co kama ya wale wanaokwenda kwa minajili ya kutafuta biashara huenda hata mtu akashindwa kumtofautisha na hao wanaojiuza.... pia aangalie asiwe analewa kupita kiac mpk hata rafiki zake wakakereka.... je hapo nitakuwa nimekosea make ni mtu wa kununa nuna sana na sitaki kumkwaza!
 
inategemea anaenda kufanya nini huko club au bar..wengine wanaenda kuwinda wanawake au wanaume na wengine kukutana na rafiki zao, wengine kupoteza mawazo...na kuendelea!yeye anaenda kufanya nini??

yeye huenda bar/club kupoteza mawazo, kujifurahisha na co kwenda kutafuta wanaume kwani ana marafiki wa kiume anaotoka nao ila hakuna aliye mpenzi wake kati ya hao just kampani tu........ na wengine ni officemate na schoolmate
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom