Hivi kwenda bar au club ni uhuni???

Umeanza kuzeeka sasa wifi angu hivi leo tunaenda club au baa?.....tukutane pale kwenye ile baa ya siku zote lol....uwahi eeh!

wifi uzee sifa........nitakupeleka kijiwe kipya tukutane kona ya kwanza utafurahia supu ya ulimi...... wifi nakuaminia kwa kuwahi eneo husika
 
Yaani hapa nishaanza safari ujue lol!.......sasa kwa hasira utanikuta kona ya pili!
 
kwenda bar ni uhuni na sio uhuni na inategemea unaenda kufanya nini kama unaenda kunywa tuu na kukutana na marafiki na kupiga stori huu sio uhuni kama unaenda bar kulewa na kutafuta malaya na kufanya vitu ambavyo havina maadili huu sasa ni uhuni
 
kuliko kujifungia ndani na kulia, kuleta msongo wa mawazo mwishoe mi pressure humo humo ni bora kujichanganya na friends na kwenda club kama anvyofanya but awe tu makini asije akaingia kwenye balaa jingine huko club, hata hvyo kuna njia nyingi nyingine za kupotezea hzo stress ambazo ni nzur zaid mfano anaweza akaenda gym, kama anapenda kuandika, kufanya mazoez hata ya kutembea tu kwa umbali fulan, kuimba kama anapenda,,,,,. zaid pole yake kwa yaliyomkuta.
 
Hivu uhuni ni nini? maana kuna mambo mengine yanasemwa jumla jumla tu bila kuelewa hata maana ya maneno tunayoyatumia
 
mambo ya kihuni yote yako bar na club..so wahuni pia hujumuika huko..
 
Namshangaaaa! .....au uzee umemzidia nae huyu....ujue aliniomba nimnunulie ugoro sasa mwenzie sijapata mda wa kwenda kununua ndio ishakuwa deni tena!

vibabu vingine havichelewe kuacha laana mpatie mwenye zamu ya kukaguliwa leo ampeleke usije chelewa kijiweni
 
Ukianza kujiuliza kila kitu huto toka hata ndani ya chumba chako mwambie afurahie maisha kwa wakati wake.
 
Husika na hiyo heading, hilo ni swali kaniuliza rafiki yangu (mdada) nimpe ushauri na mtazamo wangu kuhusu hilo suala....
Anasema kwua yeye akijisikia kutoka out huwa anawatafuta washkaji zake wanatoka out, wanapiga story, wanakunywa pombe then anarudi zake home kwake..... au kama ni w-end anawatafuta wanakwenda club baadaye wanamrudisha home kwake...

Sasa kaniuliza mimi kama rafiki yake nina mtazamo gani juu ya hiyo tabia yake? kabla sijamjibu naomba mtazamo / ushauri juu ya hili..........

Kimahusiano yeye hana mahusiano ya kudumu ana b/f wake ambaye huwa wanatafutana wakiwa na naniliu tu baada ya hapo kila mtu ana hamsini zake, sababu ya yeye kufanya hivo ni kutokana na kutendwa ma aliyekuwa mchumba wake ambaye alimuacha wakati keshamtambulisha na kumpeleka kwao (kwao kijana) sababu sijui hajanambia mpaka leo.
charminglady, habari yako kwanza!

Katika maisha kuna vitu vingi vya kuangalia kabla hujafanya kitu unachofikiria kukifanya, hii inahusisha pia ni namna gani jamii ya maeneo hayo inatreat jambo unalotaka kulifanya. Kwa mfano wazungu wanavaa vikaptula na malapa na wanatembea mjini and nobody cares lakini akivaa mswahili hivyo kila mtu atashangaa kwanini kavaa hivyo. Sasa tunarudi kwenye jambo lako hili,

Kwa mila za kiafrika imezoeleka kwamba kuna maeneo ambayo mwanamke kwenda bila uangalizi wa mwanaume ni kitendo kisichoeleweka sana kwa jamii. Moja ya maeneo hayo Club au katika maeneo ya unywaji pombe. Sasa kwanini labda ilipelekea hili? Kawaida wanaume huangalia wanawake kwa mtazamo wa matamanio na kitu pekee kinachowafanya wapishane na kusalimiana na kuongea bila kitu chochote kutokea ni pale mwanamke anapokuwa kwenye clear state of mind ambayo hupotea kwa kiasi kikubwa anapokuwa kwenye influence ya kilevi na ndio maana role ya mwanaume huonekana hapa kwani ndio huchukua nafasi ya kumprotect mwanamke huyo against any unusually incidences so pale anapoonekana mwanamke yuko peke yake kwa mtazamo wa harakaharaka huonekana hajatulia sana.

Pili ni tabia zinazoendelea ndani ya club ambazo huchangia sana kwa wanaume kutotaka kuwaruhusu wanawake zao kwenda club peke yao. Binadamu ameumbwa na ubinafsi kwahiyo kwa vile amezoea kuona kutoka ndani ya club kuna vitendo vinavyofanyika vinavyoweza kufanya ule ubinafsi wake kwa mpenzi wake kupungua ndio maana wanaume wengi hawapendi kuwaruhusu wapenzi wao kutoka bila wao.

Cha tatu ni influence waliyonayo wanawake kwa wanawake wakiwa peke yao, ni rahisi sana kama wametoka wanawake wawili na mmoja akawa na mpenzi wake mwingine akawa peke yake kushawishiwa kujiingiza kwenye mahusiano na mtu mwingine (mara nyingi kama kuna mtu ameambatana na huyo mpenzi wake) so wanaume wengi huwa wanalijua hili na kujitahidi kuliepuka.

Kiufupi mtazamo wa watu juu ya kitendo hicho una cons nyingi kuliko pros........lakini mwisho wa siku kama anaamua kuziba masikio na kuendelea na maisha yake kama kawa huku akikubali kuwa judged vile vile
 
Last edited by a moderator:
kujibu swali la thread
hivi kaka yako akija kukwambia amepata mchumba alipoenda club/bar
uta react vipi?
The Boss kwa mimi bianfsi cwezi kureact kwani nina mfano hai 1 kuna mkaka alioa baamedi na sasa ni wanandoa wazuri tu lakini leo hii ukimwambia mtu kuwa unaoa baamed atakujia juu kama moto wa kifuu.... kinachoamata ni tabia ya mtu binafsi na sio mahali mlipokutania...... mnaweza kukutana kanisani lakini akawa na tabia mbaya kuliko hata machangudoa!
 
Last edited by a moderator:
kujibu swali la thread
hivi kaka yako akija kukwambia amepata mchumba alipoenda club/bar
uta react vipi?
Hapo hata mwalimu angemfukuza mwanafunzi asisome tena, angemwambie kisha maliza university kabla hajafika, good point.
 
Husika na hiyo heading, hilo ni swali kaniuliza rafiki yangu (mdada) nimpe ushauri na mtazamo wangu kuhusu hilo suala....
Anasema kwua yeye akijisikia kutoka out huwa anawatafuta washkaji zake wanatoka out, wanapiga story, wanakunywa pombe then anarudi zake home kwake..... au kama ni w-end anawatafuta wanakwenda club baadaye wanamrudisha home kwake...

Sasa kaniuliza mimi kama rafiki yake nina mtazamo gani juu ya hiyo tabia yake? kabla sijamjibu naomba mtazamo / ushauri juu ya hili..........

Kimahusiano yeye hana mahusiano ya kudumu ana b/f wake ambaye huwa wanatafutana wakiwa na naniliu tu baada ya hapo kila mtu ana hamsini zake, sababu ya yeye kufanya hivo ni kutokana na kutendwa ma aliyekuwa mchumba wake ambaye alimuacha wakati keshamtambulisha na kumpeleka kwao (kwao kijana) sababu sijui hajanambia mpaka leo.

Iwapo unaenda shambani na ukifika huko unakamata jembe au panga na kushiriki yale matendo ya kondeni basi unabaki kuwa mkulima, ingawa daraja lako la kuitwa mkulima isiwe sawa na yule mwenye kumiliki shamba kubwa anaetumia trekta na mashine nyengine.
 
charminglady, habari yako kwanza!

Katika maisha kuna vitu vingi vya kuangalia kabla hujafanya kitu unachofikiria kukifanya, hii inahusisha pia ni namna gani jamii ya maeneo hayo inatreat jambo unalotaka kulifanya. Kwa mfano wazungu wanavaa vikaptula na malapa na wanatembea mjini and nobody cares lakini akivaa mswahili hivyo kila mtu atashangaa kwanini kavaa hivyo. Sasa tunarudi kwenye jambo lako hili,

Kwa mila za kiafrika imezoeleka kwamba kuna maeneo ambayo mwanamke kwenda bila uangalizi wa mwanaume ni kitendo kisichoeleweka sana kwa jamii. Moja ya maeneo hayo Club au katika maeneo ya unywaji pombe. Sasa kwanini labda ilipelekea hili? Kawaida wanaume huangalia wanawake kwa mtazamo wa matamanio na kitu pekee kinachowafanya wapishane na kusalimiana na kuongea bila kitu chochote kutokea ni pale mwanamke anapokuwa kwenye clear state of mind ambayo hupotea kwa kiasi kikubwa anapokuwa kwenye influence ya kilevi na ndio maana role ya mwanaume huonekana hapa kwani ndio huchukua nafasi ya kumprotect mwanamke huyo against any unusually incidences so pale anapoonekana mwanamke yuko peke yake kwa mtazamo wa harakaharaka huonekana hajatulia sana.

Pili ni tabia zinazoendelea ndani ya club ambazo huchangia sana kwa wanaume kutotaka kuwaruhusu wanawake zao kwenda club peke yao. Binadamu ameumbwa na ubinafsi kwahiyo kwa vile amezoea kuona kutoka ndani ya club kuna vitendo vinavyofanyika vinavyoweza kufanya ule ubinafsi wake kwa mpenzi wake kupungua ndio maana wanaume wengi hawapendi kuwaruhusu wapenzi wao kutoka bila wao.

Cha tatu ni influence waliyonayo wanawake kwa wanawake wakiwa peke yao, ni rahisi sana kama wametoka wanawake wawili na mmoja akawa na mpenzi wake mwingine akawa peke yake kushawishiwa kujiingiza kwenye mahusiano na mtu mwingine (mara nyingi kama kuna mtu ameambatana na huyo mpenzi wake) so wanaume wengi huwa wanalijua hili na kujitahidi kuliepuka.

Kiufupi mtazamo wa watu juu ya kitendo hicho una cons nyingi kuliko pros........lakini mwisho wa siku kama anaamua kuziba masikio na kuendelea na maisha yake kama kawa huku akikubali kuwa judged vile vile

Asante kwa ushauri, ila ukisoma katika thread yangu utaona kuwa huwa anatoka na marafiki, schoolmates, workmates na co pekeyake. na hao marafiki zake humtreat kwa jinsi alivyo... co kimapenzi!
 
sio uhuni, ila jamii inayotuzunguka inachuluklia hiyo tabia kama uhuni, hata hapa Jf kuna siku tulidiscuss mke mlevi na mpenda starehe, comment nyingi zilionesha kwamba sio tabia nzuri kupenda mambo hayo
 
Back
Top Bottom