Usenge tu sio😅 bora nyeto Alafu unafidishia karanga shambaniMwanaume gani aliyetajirika kutokana na mapenzi?
Baaaasi kwisha! Mada ifungweUkiona hayakuumizi jua umeshakua malaya
Au unakibamia nn mkuuNa uzee huu tena?
🤣🤣🤣 ila MbagaNmekufa
Wasikuumize kichwa
Ushwahi kulizwa na mapenzi? HahahahWasikuumize kichwa
you're in a gudgement free zone. Na hapo hamna mtu anaweza guess kitu. Kikubwa kama nilivyo kuambia you'll need to go back to the roots of it allDah, embu fanya kufuta hizo quotes. Sijui imekuaje mpaka nimeongea hivi...
Sijadate naye wala sikuwahi kumfikiria..!!Mmh haya bwana
Mwanaume unatakiwa kusoma environment kwanza.
Mli date?
Basi anamapepo ya ngono huyoSijadate naye wala sikuwahi kumfikiria..!!
Acha njaa uko 😹Bingo..
Nimeshaona tatizo
Kwa sasa niko tight, na Sidhani kama tutasolve kwa uzii huu tuu, hivi unajua kwanini nilikuuliza kuhusu mama?
Well, utanitafuta, uje na pesa😂.. I can't waste time and energy.. I hustled myself Nimesoma vitabu na vitabu inabidi uje na pesa kijana..
If you really wanna get out of this..
Wala sio mapepo basi tu kupenda 😹Basi anamapepo ya ngono huyo
Kwa hili yuko kwenye mikono salama, labda hajakusoma kwenye mada zingine za aina hii.you're in a gudgement free zone. Na hapo hamna mtu anaweza guess kitu. Kikubwa kama nilivyo kuambia you'll need to go back to the roots of it all
Inabidi uende kwenye mzizi.
And that's the relationship with your parents(mom).
Unajua ww Lamomy huwa unafikiria kila kitu ni kujiendekeza tuu sio? 🤣 Kuna uzi flani mwaka juzi nilianzisha ukaanza kuleta stori za hivi 🤣 nakumbuka vizuri tu shenz typAcha njaa uko 😹
Sasa hapo kuna ushauri gani wa kumpa mpaka akulipe?
Huyo mshamba anatakiwa awe mjanja afungue kamba mguuni. Tatizo anajiendekeza alitakiwa atembee ajionee dunia ilivyo. Huyo demu anayemlilia kuna boya naye anamtesa akimuona atajicheka pembeni…!!
Hajapata muda mzuri wa kumchunguza lazima atajiona mjinga.
Haswaa rafiki yangu you know me soo wellKwa hili yuko kwenye mikono salama, labda hajakusoma kwenye mada zingine za aina hii.