Hivi Kweli Mapenzi ni kitu cha kumliza Mtu?

Hivi Kweli Mapenzi ni kitu cha kumliza Mtu?

Ni hivi, kwenye mahusiano ya kimapenzi kuna hali mbili kupendwa ama la.

Mapenzi siyo kitu cha kudumu kama nyumba, hisia za mtu zinaweza kuwepo na kupotea.

Ukiachana na mapenzi ya wanafamilia, wazazi na watoto wao ambayo nayo pia siyo guarantee, mengine ni maigizo

Cha msingi ujue na ukubali huo ukweli mchungu.

Tafakari chukua hatua. SITAKUFUNDISHA TENA
Wapumbavu wanalia sana tu
 
Ni changamoto ya afya ya akili
Yap,hutokea utakuta mtu hajawahi kuumizwa au mgeni wa mahusiano
Na wengine wanashindwa ku control emotions zao
Hilo tatizo liko pande zote kwa wanaume na wanawake
Mtu akishakuambia sikutaki
Sijuwi it's over blah blah
Wengine hilo hawakubali

Ova
 
Ni hivi, kwenye mahusiano ya kimapenzi kuna hali mbili kupendwa ama la.

Mapenzi siyo kitu cha kudumu kama nyumba, hisia za mtu zinaweza kuwepo na kupotea.

Ukiachana na mapenzi ya wanafamilia, wazazi na watoto wao ambayo nayo pia siyo guarantee, mengine ni maigizo

Cha msingi ujue na ukubali huo ukweli mchungu.

Tafakari chukua hatua. SITAKUFUNDISHA TENA
Tunalia bro mi huwa nalia hadi kwikiwi, na Kuna muda nagalagala chini kwenye vumbi.

Espy_ shahidi
 
Ni hivi, kwenye mahusiano ya kimapenzi kuna hali mbili kupendwa ama la.

Mapenzi siyo kitu cha kudumu kama nyumba, hisia za mtu zinaweza kuwepo na kupotea.

Ukiachana na mapenzi ya wanafamilia, wazazi na watoto wao ambayo nayo pia siyo guarantee, mengine ni maigizo

Cha msingi ujue na ukubali huo ukweli mchungu.

Tafakari chukua hatua. SITAKUFUNDISHA TENA
mapenzi ya dawa na pesa ni kizunguzungu sana aise, na yanaliza wengi mno gentleman kindezi ndezi tu 🐒
 
Lakini mkuu, kuna mahali uliandika kwamba uliachwa ukalia. Hii imekaaje mkuu?
Mnaanza kunilisha maneno sasa ya uongo..!!
Wapi nilisema nimeachwa nikalia kisa mapenzi? 😹

Nimesema alinificha kuhusu yeye kwa kuogopa kunipoteza. ( Elewa neno kuogopa kunipoteza) Yani hapo yeye ndo alilia sababu mimi niliamua kumuacha huku bado nampenda kutokana na jinsi alivyo..!!

Na cha kukuongezea yeye mpaka leo anataka sana nimrudie, mi ndo nimekaza..!!
 
Mnaanza kunilisha maneno sasa ya uongo..!!
Wapi nilisema nimeachwa nikalia kisa mapenzi? 😹

Nimesema alinificha kuhusu yeye kwa kuogopa kunipoteza. ( Elewa neno kuogopa kunipoteza) Yani hapo yeye ndo alilia sababu mimi niliamua kumuacha huku bado nampenda kutokana ana jinsi alivyo..!!

Na cha kukuongezea yeye mpaka leo anataka sana nimrudie, mi ndo nimekaza..!!
hahaa haya bwana

Sema Lamo unajifanya mgumu ila naona ndani kwa ndani ni mpole sana na unajali.

Mtoto wa kishua dunia ikakuharibu.
 
Kuna jamaa alikuwa ananifatilia sana eti natembea na mke wake yaani asipomuona mkewake lazima aje geto kwangu aangalie akikuta kufuli ndio anaanza kumtafuta kwingine akikutana na rafiki zangu anauliza tini yuko wapi then akipewa direction nilipo nayeye anakuja anakuta nipo na masela tuu aisee mpaka tukawa hatuongei ila mwisho nikamwambia we broo mi siwezi nikatembea na mkeo kwanza wewe umeathirika na mkeo pia mnameza njugu najua sasa nitembee na mkeo ili aniambukize acha udwanzii...asaivi tumekuwa marafiki sio poa na jamaa ana 49 mkewe ana 27 noma sana
 
Back
Top Bottom