Hivi Kweli Mapenzi ni kitu cha kumliza Mtu?

Hivi Kweli Mapenzi ni kitu cha kumliza Mtu?

😹😹😹 Alikunyoosha..!!
Sasa ilitakiwa alivyorudi ungemkubali.
Kitu ungekutana nacho usingemtamani tena na ungejiuliza kipi kilikufanya ukawa fala kwake..!!

Wewe kumbe bado hujajua michezo ya mapenzi. 😹
Kumbe ni mshamba haswa😂😂
 
Ni hivi, kwenye mahusiano ya kimapenzi kuna hali mbili kupendwa ama la.

Mapenzi siyo kitu cha kudumu kama nyumba, hisia za mtu zinaweza kuwepo na kupotea.

Ukiachana na mapenzi ya wanafamilia, wazazi na watoto wao ambayo nayo pia siyo guarantee, mengine ni maigizo

Cha msingi ujue na ukubali huo ukweli mchungu.

Tafakari chukua hatua. SITAKUFUNDISHA TENA
Wanawake ndiyo huwa wanalizwa na mapenzi
 
Dah hili muvi la kutisha kbs kumbe mamtu akitaka umsaidie mpk kwa mwanae?

Kama hakukushirikisha alifeli? Na wakaenda kwa mganga, you have trouble! Bado unaishi karib nao?

Kumbe beneath una moyo mzuri tuu. Si Nikisema huwa mnajifanya mnakoroma😂
Mama alinipenda na mtoto ndo akadata kabisa..!! 😹

Alivyoona sijaolewa akajua akiingiza gia ya ndoa nitakubali fasta. Nikamkataa pamoja na kujimwambafai kwake u Tundu Lissu mwingi..! 😹
Ananiletea vifungu vya sheria mimi mahakama?!

Alivyoona sielewi wakaenda kuwanga sasa na mama yake akiwa ndio jasiri muongoza njia..!!

Kuna wasomi wa hovyo sana nchi hii
 
Mama alinipenda na mtoto ndo akadata kabisa..!! 😹

Alivyoona sijaolewa akajua akiingiza gia ya ndoa nitakubali fasta. Nikamkataa pamoja na kujimwambafai kwake u Tundu Lissu mwingi..! 😹
Ananiletea vifungu vya sheria mimi mahakama?!

Alivyoona sielewi wakaenda kuwanga sasa na mama yake akiwa ndio jasiri muongoza njia..!!

Kuna wasomi wa hovyo sana nchi hii
Mmh haya bwana

Mwanaume unatakiwa kusoma environment kwanza.

Mli date?
 
Umenikumbusha huyu binti moja nilipatana naye, aliniwezea sana mimi mtoto wa mama. Alikuwa na jina na rangi kama ya mama yangu, naweza sema hata tabasamu pia. Nilimuamini sana.

Aliniliza mno aliponiacha. Sikuweza kula, sikuweza kulala kiuhalisia kabisa. Miaka 6 imepita sijathubutu kabisa kujiingiza mahusianoni. Sijamsahau, namba yake naikumbuka kwa kichwa.

Alinitafuta kipindi fulani nikajifanya kumkataa kumbe kichwa kinapata moto. Natembelea ukurasa wake wa IG kumuona tu. Naweza nikawa na shida mkuu.
Kimekuramba!

Understandable, kama aliset standards za juu itakupa shida kuona kama wengine wanafikia.

Usiendelee kumuangalia huko insta, inakuchelewesha kumove on, na usipomove on hutamtendea haki yule next in line.

Mimi huwa naassume ex amekufa 😂 inanisaidia kumove on kirahisi.
 
Kimekuramba!

Understandable, kama aliset standards za juu itakupa shida kuona kama wengine wanafikia.

Usiendelee kumuangalia huko insta, inakuchelewesha kumove on, na usipomove on hutamtendea haki yule next in line.

Mimi huwa naassume ex amekufa 😂 inanisaidia kumove on kirahisi.
Sio rahisi, I was in his position too...

Bora hata a navyo Chek kuna kuwa na familiarity flani hivii, you can't get over it by will power..
 
Nafikiria kumtafuta tu niongee naye hili jambo liishe, kwa kuwa nahisi ameniathiri sana.

Nimejikuta naingia kwenye wimbi la wanawake watu wazima, ambapo sipati faida yeyote hakuna muingiliano wa kihisia ni michezo ya ngono tu.

Pia nakuwa mkali dhidi ya wanawake muda mwingine, kuna dada nilimpiga nikapata kesi polisi.

Angalau leo nimefunguka kidogo maana duh, sema hii ndo raha ya JF, hatujuani.
Mkuu, kwanza nikupe pole nimeshawahi kuwa kwenye position hii

Kwanza nianze kwa kuku uliza if your mom is still available.. (rejea ulisema ana fanana na mama)

Pili hili swala si rahisi, ni process. Na hasa huwa inakuwa subconsciously.. Ukitumia will power utapata relief ya masaa tu then inarudi kwa ukubwa zaidi.

Tatu, kuingia kwenye wimbi la wanawake wakubwa for pleasure reasons ni kama kupata short relief as they're emotional mature. Wanajua wakigusa wapi una tulia.

Mwisho kabisa kumtafuta Haisaidii, itakuongezea Maumivu maana utampa ego, yakuwa bado hauja move on.

You need to start Journaling, inabidi uanze kukubali tatizo linaanzia kwako. Itachukua muda ila inabidi uwe consistent..

Mm ilibidi niingiwe online kutafta community. Na ukweli walinisaidia..
 
Yapo sawa tu, japo ujana uliwahi kunisumbua kidogo😅 nilileta uzi👇🏾

Bingo..
Nimeshaona tatizo
Kwa sasa niko tight, na Sidhani kama tutasolve kwa uzii huu tuu, hivi unajua kwanini nilikuuliza kuhusu mama?

Well, utanitafuta, uje na pesa😂.. I can't waste time and energy.. I hustled myself Nimesoma vitabu na vitabu inabidi uje na pesa kijana..

If you really wanna get out of this..
 
Back
Top Bottom