Hivi Kweli Mapenzi ni kitu cha kumliza Mtu?

Hivi Kweli Mapenzi ni kitu cha kumliza Mtu?

Mama alinipenda na mtoto ndo akadata kabisa..!! 😹

Alivyoona sijaolewa akajua akiingiza gia ya ndoa nitakubali fasta. Nikamkataa pamoja na kujimwambafai kwake u Tundu Lissu mwingi..! 😹
Ananiletea vifungu vya sheria mimi mahakama?!

Alivyoona sielewi wakaenda kuwanga sasa na mama yake akiwa ndio jasiri muongoza njia..!!

Kuna wasomi wa hovyo sana nchi hii
Na wanasheria wasivyojuaga mapenzi sasa!! 😀
 
mshamba_hachekwi wewe ni weak sana hata hapa umeonyesha hilo. Unaweka comment then unajistukia unafuta..!! 😹

Sasa unaogopa hadi forum yenye fake identity, mwanaume wa wapi wewe? 😹

Unaogopa agemate wenzio unafichia weakness zako kwa mishangazi 😹
Ila wewe Lamomy ni narcissist kabisa yaani unapiga kwenye mshono na huku jamaa yuko serious! Ukiona kuwa amefuta jua tayari Amekuwa triggered na pona yake ni kumpa support acha hizo basi 😆 Daah ila Kuna waja humu hatar sana
 
Mi siwezi kusupport ujinga 😹
Huyo inatakiwa aambiwe ukweli ili apone..!!

Wewe mgonjwa anatakiwa kuchomwa sindano apone unaanza kumbembeleza kwa kumpa panadol apoze maumivu..!!
 
Mi siwezi kusupport ujinga 😹
Huyo inatakiwa aambiwe ukweli ili apone..!!

Wewe mgonjwa anatakiwa kuchomwa sindano apone unaanza kumbembeleza kwa kumpa panadol apoze maumivu..!!
Hahaha uwanja ni wako sasa
 
Back
Top Bottom